poa jomba ngoja nicheki lkn page zipo kibao kakaNakulaje peke yangu jombaaa ..... Hizo hesabu wameshazipiga humu mpaka basi.... Fungua kurasa za nyuma utaziona.....
poa jomba ngoja nicheki lkn page zipo kibao kakaNakulaje peke yangu jombaaa ..... Hizo hesabu wameshazipiga humu mpaka basi.... Fungua kurasa za nyuma utaziona.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna mti wamepanda wanaamka wanautikisa unaangusha pesa ..
pole kwa aliyefata kona 1st halfTottenham V Juventus
1st half - total corners 4.5
Both Team To Score - YES
1st Half - Over 0.5
10 Minutes - 3way - X
chukua moja hapo kale pesa
Not only corners.pole kwa aliyefata kona 1st half
Muhindi kaishanitusua sana nikimla leo milioni 3, 4 basii ntakaa mwaka mzima sili napigwa mimi tu, wacha nihamie katika live games,KUFUNGA HESABU YA SIKU
Idadi
Mikeka ya siku niliyobet: 53
Mikeka ya siku iliyotick: 38
Mikeka ya siku iliyochanika: 15
% ya mikeka iliyotick: 71.70%
% ya mikeka iliyochanika: 28.30%
Mtaji wa siku: 90,000 Tsh
Mapato ya siku: 403,590 Tsh
Faida ya siku: 313,590 Tsh
Tathmini:
Siku ilianza vibaya asubuhi, kuanzia jioni ilianza kua vizur, usiku ilkua vizur sana.
Hasa usiku wa manane kule barani South america
Pia, siku ya kuamkia Leo imeimarika kiasi ukilinganisha na siku ya kuamkia jana
CHANGAMOTO:
Changamoto bado ziko ktk michuano ya AFC, pia ligi za kadhaa kule baran asia km Vietnam, Singapore, malaysia na Kazakhstan
Inasababishwa na Upungufu wa vyanzo vya kutosha vya takwimu khs timu nyingi hasa upande corners, fouls, yellow cards, tackles, shots on target, ball possession.
Hii inachangia kua na wigo mdogo wa options ktk kuplace bet.
MPANGO MKAKATI
Kuongeza juhudi ktk kutafta vyanzo zaid vya takwimu khs timu nyingi, hasa hasa barani asia, South america & North america
Pia kuweka juhudi zaidi kubet ktk ligi za South and North america
***MAPAMBANO YANAENDELEA****
View attachment 707469View attachment 707470View attachment 707471View attachment 707472View attachment 707473View attachment 707474View attachment 707476View attachment 707478View attachment 707479View attachment 707480View attachment 707481View attachment 707482
Sure mkuu Deeppond haswa hili ndo limefanya nikupm use unatuwekea na stake kabisa ili twende sawaMuhindi kaishanitusua sana nikimla leo milioni 3, 4 basii ntakaa mwaka mzima sili napigwa mimi tu, wacha nihamie katika live games,
Mkuu napiga chabo kwako nataka twende hatua kwa hatua ukiweka odds si mbaya ukaandika na kiasi ulichoweka ili mambo yanoge, maana isije ukaweka odds nikaweka 5000 nikaweka elfu 5 nikala wakati wee umenitia 20000, halaf odds nyingine nikaweka 15000 tukaliwa wakati mwenzangu umeweka 5000 ntakoga hasara.
Leo niko na mtaji wa 80000 kutoka kwenye laki 9 baada ya kupigwa sana na muhindi.[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Nitagelezea kwako mpaka pale nitakapoona nina uwezo na jeuri ya kutembea pekee yangu katika in play..
Natanguliza shukrani za dhati kabisa mkuu.
Kabisa kabisa, mie napunguza kubet game nje kabisa maana upepo wangu umekata wacha nitembelee upepo wa deepPond, maana hakuna namna na kwenye kamali upepo ukikata, utaliwa tu hata kama kama kiroba cha hela.Sure mkuu Deeppond haswa hili ndo limefanya nikupm use unatuwekea na stake kabisa ili twende sawa
Shida kahama na kijijiduuuh naamini princess sasa hawajutii kumpoteza mteja wao deepond. sasa kipigo kimehamia kwa mrusi hahahahah
Hizi kampuni nyingine hizi miyeyusho, mie meridian wamekula 115000 yangu, jaribu kwenda ofisin kwao.Bado Natafuta Namba za Premierbet .Naomba nisaidieni wameniletea usaniii 56k ....nilikua nimewithdraw na hela wamekata, umekuja transaction failed badala warudishe hela wamekausha kimya...
Mkuu makaveli karibu 1xbet mimi nilikuwa mdau mzuri wa princess bet ila tangu jamaa deeppond ahame kule ikanibidi na mm nihame tu.....Hizi kampuni nyingine hizi miyeyusho, mie meridian wamekula 115000 yangu, jaribu kwenda ofisin kwao.
thanksNot only corners.
Tip zote zimetick hapo
Big up Brothr
Kweli aiseeeDeepPond afungue darasa la kubet tuu maana