Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Inplay

Copa mexico

Leon vs celaya

Over 4 goals full time

Odds: 1.49
 
Wakuu naomba ufafanuzi hapa kdg, kwny hii game iliyochana mkeka ... ni tennis, nilimpa Ruben Bemelmans ushindi wa handicap 2.5

Game iliisha kwa yeye Ruben kupigwa set 2 bila majibu. Sasa kwa kuwa nilimpa Handicap ya 2.5, nilitegemea iwe ni won bet kwa sababu itafanya matokeo kuwa 2:2.5 ... au natafsiri vibaya hii handicap? msaada tutani wadau

58090bee55f898fd5de2f5c7beffd6a6.jpg
 
Matokeo ni set 2:0 (6:3)(7:6)

Maana ake hiyo handicap ni ya magoli

Magoli yalkua ni (6:3) kwa first set na ilkua ni 7:6 kwa second set

Jumla unapata ruben kapigwa magoli 13:9

Ambapo hapo handicap ya +2.5 kwa Ruben inakua bet lost.

NB:
Tennis haina handicap ya set +2.5,

Mara nyingi set huishia mbili, ukipigwa mbili mfururizo bila majibu.

Biashara inakua imeishia hapo.

Ikitokea mmetoka sare set mbili za mwanzo, kinachofata hapo mtacheza wee hata km ni Massa 3+ ni lazma tu mpk mshindi apatkane.

Ni hayo tu mkuu
 
Good Morning watu wa nguvuuuu

Jana ilikuwa siku nzuri kiasi chake japo siku ilianza kwa mbinde hiyo ni kawaida ilipofika jioni mambo yakaanza kidogo kuwa safi. Muhimu ni kuendelea kupambana.

Kwa mara nyingine Asante sana mkuu DeePond huwa unacheza kama Pele. Uzidishiwe kheri zaidi mkuu.

Na leo nayo siku. MAPAMBANO YAENDELEE.
 
Toa mrejesho wa faida mkuu
 
Matokeo ni set 2:0 (6:3)(7:6)

Maana ake hiyo handicap ni ya magoli

Magoli yalkua ni (6:3) kwa first set na ilkua ni 7:6 kwa second set

Jumla unapata ruben kapigwa magoli 13:9

Ambapo hapo handicap ya +2.5 kwa Ruben inakua bet lost.

NB:
Tennis haina handicap ya set +2.5,

Mara nyingi set huishia mbili, ukipigwa mbili mfururizo bila majibu.

Biashara inakua imeishia hapo.

Ikitokea mmetoka sare set mbili za mwanzo, kinachofata hapo mtacheza wee hata km ni Massa 3+ ni lazma tu mpk mshindi apatkane.

Ni hayo tu mkuu
Ooh ok ... basi sikujua km nabet handicaps za magoli, nilifikiri ni sets. Shukran sn kwa ufafanuzi mkuu. Nimekusomaa
 
PRINCESSBET HOW TO DEPOSIT – OVER PHONE
Katika kufanya muamala wako Kupitia Tigo pesa / M pesa.
Ingia kwenye Menu yako ya Tigo pesa / M pesa.
tumia Namba ya kampuni 262222 na Reference /Kumbukumbu namba, ni namba yako ya simu uliyosajilia na Princess Bet. Mfano 0677262222

KUWEKA
01. Kiwango cha chini – 1,000/= TZS
02. Kiwango cha Juuu – 2,000,000/=
 
Toa mrejesho wa faida mkuu

Mkuu mimi nina lengo la 20,000/= Kwa siku, ambayo ni 140,000/= kwa wiki, ambayo na 560,000/= kwa mwezi.

Hii ni wiki ya tatu toka nimeanza.

Wiki ya kwanza nilifikisha 195,000/=
Wiki ya Pili nilifikisha 115,000/
Wiki hii ya tatu nina mtihani kidogo ila naamini nitavuka lengo maana siku mbili zilizopita nilikutana na Dhoruba ya kuunguza mtaji wangu wote kwa makosa yangu mwenyewe.

Nikadeposit tena 100,000/= nayo ikatafunwa hadi ikafika hadi 30,000/=

Nikaanza kujikongoja kwa msaada wa mkuu DeePond sasa hivi nina 90,000/=

Mimi ni Junior kwenye hili jambo ila kila siku najifunza jambo na nimejiwekea malengo ya kukusanya kidogo kidogo kwa sababu ndiyo uwezo wangu katika INPLAY Betting kwa muda huu. Nitakua mdogo mdogo

Nimeandika fasta fasta ila hope nimeeleweka.

MAPAMBANO YAENDELEE
 
Mimi ni Junior kwenye hili jambo ila kila siku najifunza jambo na nimejiwekea malengo ya kukusanya kidogo kidogo kwa sababu ndiyo uwezo wangu katika INPLAY Betting kwa muda huu.

Nimeandika fasta fasta ila hope nimeeleweka.

MAPAMBANO YAENDELEE
 
Mkuu mimi nina lengo la 20,000/= Kwa siku, ambayo ni 140,000/= kwa wiki, ambayo na 560,000/= kwa mwezi.

Hii ni wiki ya tatu toka nimeanza.

Wiki ya kwanza nilifikisha 195,000/=
Wiki ya Pili nilifikisha 115,000/
Wiki hii ya tatu nina mtihani kidogo ila naamini nitavuka lengo maana siku mbili zilizopita nilikutana na Dhoruba ya kuunguza mtaji wangu wote kwa makosa yangu mwenyewe.

Nikadeposit tena 100,000/= nayo ikatafunwa hadi ikafika hadi 30,000/=

Nikaanza kujikongoja kwa msaada wa mkuu DeePond sasa hivi nina 90,000/=

Mimi ni Junior kwenye hili jambo ila kila siku najifunza jambo na nimejiwekea malengo ya kukusanya kidogo kidogo kwa sababu ndiyo uwezo wangu katika INPLAY Betting kwa muda huu. Nitakua mdogo mdogo

Nimeandika fasta fasta ila hope nimeeleweka.

MAPAMBANO YAENDELEE
mnapataje hizo hela, sijaelewa wadau.
 
Big up kijana No retreat No Surender
 
Back
Top Bottom