Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hi, Thanks for the questions, I will try my best to answer as I am using a combination of Swahili I know and google translate 🙂 - I will be sending this to my Swahili partners as well to confirm I did not mess it up to much.

I hope this helps.

PS : I also saw a message from you on PM, but I can not reply yet so send me email to roburt@iplay8casino.com as well and I will reply
 
kwanza nikupongeze kwa kuamua kutufata mpk huku.

My question is
according to your online infomations there is an accessibilty to the Iplay8 customers to be given up to ¢ã100 USD as a Bonus to Manage an account"

so Wat are the qualities, terms or conditions that the customers should hav had to win such a bonus out of that 8 US Dollars?
 
thanx mr roburt kwa kuja kwa thread hii mi ushauri wangu ni kwanini msifanye dili na kampuni yoyote ya simu kama walivofanya m-bet na vodacom?? Njia hii itasaidia watu wengi wasio na smartphone
 
1.Mr.Robust,my id doesnt show my age but show my education status which,inTanzania,you cant obtain it if you are under18!! may i use it to withdraw my Mpunga a.k.a cheda,a.k.a money!!
Long live mikeka
 
Kwa waliochek mkeka m-bet mbona fc basel kapewa point nyingi sana wakati yupo home halafu hata kimpira yupo juu ya huyo mpinzan wake redbul... Wadau 2juzane au muhindi anatutega game zishanunuliwa nini? Kapewa 2.83
 
hahaha ladbrokes nikama story za abunuasi...nililiwa sana kuliko kula..mmmh ila ndo maisha tunayopitia ayo
 
Kwa waliochek mkeka m-bet mbona fc basel kapewa point nyingi sana wakati yupo home halafu hata kimpira yupo juu ya huyo mpinzan wake redbul... Wadau 2juzane au muhindi anatutega game zishanunuliwa nini? Kapewa 2.83

Weee....usithubutu....red bull salzburg ni matatizo, ni sheeedah.....Bayern munchen kanywa 3-0 pale..
 
Mkuu hiyo game mm mwenyewe nimeweka kando vinginevyo ujilipue umpe mgeni tu kushinda inaonekana hiyo kitimu ni

hatari!..

Kwa waliochek mkeka m-bet mbona fc basel kapewa point nyingi sana wakati yupo home halafu hata kimpira yupo juu ya huyo mpinzan wake redbul... Wadau 2juzane au muhindi anatutega game zishanunuliwa nini? Kapewa 2.83
 
Bundesliga ilisimama desemba hadi january 23...hapo kati kati sasa....kalishwa suti bayern.....raundi iliopita walicheza na Ajax kapigwa 3 nyumbani na ugenini...sio watu wazuri hao

du! Ngoja nikaondoe kwenye list, fc basel yenyewe washamuuza galacha wao mohamed salah
 
Kwa waliochek mkeka m-bet mbona fc basel kapewa point nyingi sana wakati yupo home halafu hata kimpira yupo juu ya huyo mpinzan wake redbul... Wadau 2juzane au muhindi anatutega game zishanunuliwa nini? Kapewa 2.83

kaka haoa RED BULSS NI NOMAAA
UWIII KSHO UTASKIA.

HAO JAMAA WALIMPIGA AJAX PALE
AMSTERDAM BAO 4

WAKARUDI KWAO KULE MASHARIKI
WAKAMTANDIKA TENA AJAX
OOH KAKA KUWA MAKINI SANA HAPA.
 
1.Mr.Robust,my id doesnt show my age but show my education status which,inTanzania,you cant obtain it if you are under18!! may i use it to withdraw my Mpunga a.k.a cheda,a.k.a money!!
Long live mikeka

Hahahahahaaa!! Deo umenifurahisha sana!!
 
Jamaa hao wazuri sana ila Basel pia wako vizuri ukizingatia ajax wanamaliza ligi vibaya.
 
Rahim sikusomi kabisa,jamaa wa iplay8 umempga na ukaamua kumleta mikekani! Hebu fanya umlete na kanjibah nina yangu ya moyoni!

Hahahahaaaa!! Tatizo kanjibah apigwi kirahisi rahisi kaka, nimenyoosha mikono kwa sasa iplay ndio sehem yangu ya kujidai! 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…