Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naombeni msaada wadau nilitaka kuwithdraw kutoka 1× bet imeniletea huu ujumbe
Mnisaidie ndio condition zipi hizo
 
Kiasi ki
Naombeni msaada wadau nilitaka kuwithdraw kutoka 1× bet imeniletea huu ujumbe
Mnisaidie ndio condition zipi hizoView attachment 709018
Kiasi kinachotakiwa kubaki kwenye account yako inabidi kiwe sawa na bonus uliyopewa. Kama ulipewa bonus 10000 then akaunti yako ikibaki na 10000 hautaweza kuitoa hiyo hela labda ubet then utakacho kipata ndio utoe. Hiyo 10000 inatakiwa ibaki kama mtaji wako.
 
Lakini mbona sikupewa bonus mkuu
 
Nimechat nao wameniletea hayo maelezo lakini duu lugha imekua ngumu
 
Inamaana post yangu hamjaiona!!?
Acha wenge,nenda top up account jaza pale kias unachotaka na namba ya sim utakayo tumia.then send,watakutumia msg ya maelekezo,kias ulichoweka huku na huko tigo pesa au mpesa or watever medium ulotumia ndo uweke hko hko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…