makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Tunafanana..Nyota yangu chafu, Inplay ninazoziwahi ni zile vimeo tu.... Zinazoshinda nakuta tayari ishapita doh!
Tunafanana..Nyota yangu chafu, Inplay ninazoziwahi ni zile vimeo tu.... Zinazoshinda nakuta tayari ishapita doh!
Mimi ndio maseke mpaka jana nilikiwa na loss ya 30000 sasa hivi tayar nishapata loss ya 5000[emoji17] [emoji17]Wakuu,bado short ya elf 16 kwenye mtaj inanitafuna had saa hii haijarud,,..leo napo naona malue lue tu,...jana nilijitusu elf 10 kwenye hali kama hii,nkalambwa,sasa leo stak hata kuwaza
******Bet won mkuu******Inplay
Uzbekistan
Nasaf vs Boxolo
Correct score full time- 2:1 or 3:1 or 3:2
Odds: 3.24
Nb: stake medium
Pole mkuu,na hyo avatar yako ya 2pac huyo jamaa sura yake hua inatia huruma sana bas na unavyonungunika hvyo daah yan naona mule mule[emoji23][emoji23]Mimi ndio maseke mpaka jana nilikiwa na loss ya 30000 sasa hivi tayar nishapata loss ya 5000[emoji17] [emoji17]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mshkuru mungu kwa kutoiona
Melbourne ananyukwa ipasavyo uko
Upepo umebadilika,
Sungura anamla simba.....
NtaitoaPole mkuu,na hyo avatar yako ya 2pac huyo jamaa sura yake hua inatia huruma sana bas na unavyonungunika hvyo daah yan naona mule mule[emoji23][emoji23]
Ahh usiitoe man,yaukwel sana hyoNtaitoa
BET WONAmkar Perm - Arsenal Tula,
Amkar Over 0.5 Yellow Cards
Odds 1.33
Ligi gani hii mkuuBatna - AS Aïn M'lila, 1 Half,
Over 5 Corners
Odds 1.73
Timu za wapi hizi mkuuBatna - AS Aïn M'lila, 1 Half,
Over 5 Corners
Odds 1.73
Itoe avatar hiyo cc mtoto wa inzi na tpaul nao avatar zao zinashawishi kuliwa na MuhindiNtaitoa
tuelekezeni jinsi ya kujiunga maana nimejaribu nimeshindwaHuku zaidi ya 80% ni 1xbet mbaba
Sorry sn wakuu,Inplay
Israel
H.kfarsaba vs h. Katamon
Odds: 1.70
Timu za wapi hizi mkuu