Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sorry sn wakuu,

Nlikua fast sn

MVUA KUBWA SN&RADI INANYESHA, NLIZIMA KWANZA

Option ilkua
" botg team to score-yes"
Mimi niliweka over 4 na kweli yakaongeza goli mbili mwishoni [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Hongera sn mkuu
Mapambano yanaendelea hata ile correct score pia nili copy and paste mkuu....

Mkuu kama inawezekana uwe unaweka na stake moja kwa moja ili ambao wanajiweza waendee sambamba na wewe au unaonaje mkuu.....

Urudi kwenye system yako ile ya princess unatia mkeka mpaka stake [emoji4] [emoji4]
 
Sorry sn wakuu,

Nlikua fast sn

MVUA KUBWA SN&RADI INANYESHA, NLIZIMA KWANZA

Option ilkua
" botg team to score-yes"
Mkuu kucheza multiple bet nafanyaje,nataka nijarib mda huu had saa nne hiv match za mda huu...

N.b Siyo live na siyo single,..nafanyaje kwenye 1xbet
 
Mimi mtaji huwa ni 70,000/= nina 25,000/= hadi sasa
Aisee account imepukutika sana mkuu.... ni vyema ukasimama kwa muda ili kichwa kitulie maana ukiendelea kubet kwenye hiyo condition you will loose more.....

So vunga kidogo then baadae uendelee kujilipua kama kawaida....
 
Hehe Mkuu kuna siku ilifika hadi 5000 nikalala na 80,000 hakuna kurudi nyuma. Muhimu nikuongeza umakini.

Ukiamua kupikia kuni usiogope moshi mkuu
 
Aisee account imepukutika sana mkuu.... ni vyema ukasimama kwa muda ili kichwa kitulie maana ukiendelea kubet kwenye hiyo condition you will loose more.....

So vunga kidogo then baadae uendelee kujilipua kama kawaida....
Hapana,

Usimkatishe tamaa mwenzio

Cha msingi,
mtaji ukishuka sn.
Unatakiwa kuongeza nidham ya mchezo, kwa kupunguza ukubwa wa stake

Pia kua makini zaidi kutokirisk stake.

Unawz kuanza kuuinua kidogo kidpgo kwa kuzisaka odds 1.2 mpk 1.8

Huku stake ikiwa to the minimum.

Maana ake,
Utacheza 10% ya pesa iliyobaki kwny ac kwa kila single bet.

MF:
10% ya 20,000Tsh iliyobak kwny account ni Tsh 2,000 kwa kila single bet.

Utacheza hivo hivo mpk angala utakainuka na kurejea kwny stake yako ya mwanzo.
 
Hapana,

Usimkatishe tamaa mwenzio

Cha msingi,
mtaji ukishuka sn.
Unatakiwa kuongeza nidham ya mchezo, kwa kupunguza ukubwa wa stake

Pia kua makini zaidi kutokirisk stake.

Unawz kuanza kuuinua kidogo kidpgo kwa kuzisaka odds 1.2 mpk 1.5

Huku stake ikiwa to the minimum.

Maana ake,
Utacheza 10% ya pesa iliyobaki kwny ac kwa kila single bet.

MF:
10% ya 20,000Tsh iliyobak kwny account ni Tsh 2,000 kwa kila single bet.

Utacheza hivo hivo mpk angala utakainuka na kurejea kwny stake yako ya mwanzo.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Back
Top Bottom