BABA-D
JF-Expert Member
- Jul 23, 2015
- 1,242
- 1,032
Msaada kidogo namna ya kufungua akaunti 1xbet........BOOM.... Ngoja nipumzike sasa kinachofwata nitaanza kuliwa. Kumbuka ni kwa Hisani ya 1xbet
Msaada kidogo namna ya kufungua akaunti 1xbet........BOOM.... Ngoja nipumzike sasa kinachofwata nitaanza kuliwa. Kumbuka ni kwa Hisani ya 1xbet
Yaah, Mechi inakasi flani hivi. Kiufupi hawa jamaa hawajui kupiga cross. Cross ikipigwa lazma ibabatize mtu.Wameshatoa, nimeichelewa hii..
Kwani wanashambuliana sana!?
Duh hujawahi kufungua akaunti mkuu Mimi nilifikiri watu wote humu ndani tupo 1XBETMsaada kidogo namna ya kufungua akaunti 1xbet
Nimeshawishika sana kujiunga 1xbet maana princessbet hakusomeki kabisaDuh hujawahi kufungua akaunti mkuu Mimi nilifikiri watu wote humu ndani tupo 1XBET
Sio hakusomeki kaka. Kampuni nyingi bongo zipo kukufanya ww uliwe. huwezi ukawa unaweka option correct score tupu.Nimeshawishika sana kujiunga 1xbet maana princessbet hakusomeki kabisa
Hzo kauli za namna hiyo huwa zinanikera sana.Nna gundu, tayar ishatoka.
Sawa mkuuHzo kauli za namna hiyo huwa zinanikera sana.
Always wahenga husema
"Mdomo huumba"
Sasa MTU kama unajijua unagundu, uku kwny kazi ya betting umefata nini.
WATU WENYE IMANI HABA KWENYE NAFSI ZENU KUHUSU KAZI ZENU NI TATIZO KUBWA.
Nakusihi mkuu,
Badilika, kua positive minded.
Amini 100% kua kile unachokifanya kitafanikiwa,
hata kama kwa macho ya kawaida inaweza kuonekana hakiwezekani.
Yesu alisema
"Laiti mwanadu wa sasa angekua na imani, japo kiasi kdg yenye ukubwa wa mbegu ya haradani.
Basi angeweza kuuamrisha mlima uhame, na ni kweli mlima ungemtii na ungehama"
BILA KUA NA IMANI KTK HII KAZI YETU, NI BORA TU MTU UKATAFTE KAZI NYINGINE.
HAPA PATAKUA SI MAHALA SALAMA KWA MAISHA YAKO, FUTURE YAKO NA PIA KTK AFYA YAKO.
Mm mwnyw nashangaa aisee....Duh hujawahi kufungua akaunti mkuu Mimi nilifikiri watu wote humu ndani tupo 1XBET
Mkuu, dah Nimecheka sana hapa, mpaka wife ameshangaa na kuuliza vipi unacheka na PCHzo kauli za namna hiyo huwa zinanikera sana.
Always wahenga husema
"Mdomo huumba"
Sasa MTU kama unajijua unagundu, uku kwny kazi ya betting umefata nini.
WATU WENYE IMANI HABA KWENYE NAFSI ZENU KUHUSU KAZI ZENU NI TATIZO KUBWA.
Nakusihi mkuu,
Badilika, kua positive minded.
Amini 100% kua kile unachokifanya kitafanikiwa,
hata kama kwa macho ya kawaida inaweza kuonekana hakiwezekani.
Yesu alisema
"Laiti mwanadamu wa sasa angekua na imani, japo kiasi kdg yenye ukubwa wa mbegu ya haradani.
Basi angeweza kuuamrisha mlima uhame, na ni kweli mlima ungemtii na ungehama"
BILA KUA NA IMANI KTK HII KAZI YETU, NI BORA TU MTU UKATAFTE KAZI NYINGINE.
HAPA PATAKUA SI MAHALA SALAMA KWA MAISHA YAKO, FUTURE YAKO NA PIA KTK AFYA YAKO.
WooonWinter cup
Ventspils vs Rigas
Ov 0.5 ft odd 1.71
Hapa kwenye national ID naweza kuweka voter's IDMm mwnyw nashangaa aisee....
Fresh mwanangu, tutupiane odds tu basket niko mweupe huko.Makaveli10 jipe moyo. Saa 4 hadi saa tano kunahela ya bure basketbal, crevna zvezda mts na bros bamberg wanaingia hao wanaitwa wazee wa over.
Hapana,
Usimkatishe tamaa mwenzio
Cha msingi,
mtaji ukishuka sn.
Unatakiwa kuongeza nidham ya mchezo, kwa kupunguza ukubwa wa stake
Pia kua makini zaidi kutokirisk stake.
Unawz kuanza kuuinua kidogo kidpgo kwa kuzisaka odds 1.2 mpk 1.8
Huku stake ikiwa to the minimum.
Maana ake,
Utacheza 10% ya pesa iliyobaki kwny ac kwa kila single bet.
MF:
10% ya 20,000Tsh iliyobak kwny account ni Tsh 2,000 kwa kila single bet.
Utacheza hivo hivo mpk angala utakainuka na kurejea kwny stake yako ya mwanzo.
Ni vema mkuu,Mkuu, dah Nimecheka sana hapa, mpaka wife ameshangaa na kuuliza vipi unacheka na PC