Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimeshawishika sana kujiunga 1xbet maana princessbet hakusomeki kabisa
Sio hakusomeki kaka. Kampuni nyingi bongo zipo kukufanya ww uliwe. huwezi ukawa unaweka option correct score tupu.
 
Nna gundu, tayar ishatoka.
Hzo kauli za namna hiyo huwa zinanikera sana.

Always wahenga husema
"Mdomo huumba"

Sasa MTU kama unajijua unagundu, uku kwny kazi ya betting umefata nini.

WATU WENYE IMANI HABA KWENYE NAFSI ZENU KUHUSU KAZI ZENU NI TATIZO KUBWA.

Nakusihi mkuu,
Badilika, kua positive minded.

Amini 100% kua kile unachokifanya kitafanikiwa,
hata kama kwa macho ya kawaida inaweza kuonekana hakiwezekani.

Yesu alisema
"Laiti mwanadamu wa sasa angekua na imani, japo kiasi kdg yenye ukubwa wa mbegu ya haradani.

Basi angeweza kuuamrisha mlima uhame, na ni kweli mlima ungemtii na ungehama"

BILA KUA NA IMANI KTK HII KAZI YETU, NI BORA TU MTU UKATAFTE KAZI NYINGINE.

HAPA PATAKUA SI MAHALA SALAMA KWA MAISHA YAKO, FUTURE YAKO NA PIA KTK AFYA YAKO.
 
Sawa mkuu
 
Makaveli10 jipe moyo. Saa 4 hadi saa tano kunahela ya bure basketbal, crevna zvezda mts na bros bamberg wanaingia hao wanaitwa wazee wa over.
 
Mkuu, dah Nimecheka sana hapa, mpaka wife ameshangaa na kuuliza vipi unacheka na PC
 
Makaveli10 jipe moyo. Saa 4 hadi saa tano kunahela ya bure basketbal, crevna zvezda mts na bros bamberg wanaingia hao wanaitwa wazee wa over.
Fresh mwanangu, tutupiane odds tu basket niko mweupe huko.
 

Kwa business principles... Profit ya biashara yeyote inatakiwa kurange kati ya 10%-40%... Zaidi ya hapo hiyo biashara ina kauharamu ndani yake .. Sooo ukileta huku... Odds ya 1.3 ni faida ya 30% ambayo ni sawa tu...... Hata odds ya 1.2 ni faida the 20%
 
Mkuu, dah Nimecheka sana hapa, mpaka wife ameshangaa na kuuliza vipi unacheka na PC
Ni vema mkuu,
Tukawakumbusha HAWA ndugu zetu.

Hii kitu ya imani, ni muhimu sn ktk hii KAZI yetu.

Wenzetu juniiors bado wana mindset ya kupiga pesa kila siku.

Ila Kuna kipind tunapitia kipind kigumu sn,
BILA kua na moyo wa ujasiri na imani thabiti.

UNAWEZA JIKUTA UNAACHA KAZI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…