Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Liwalo na liwe
Screenshot_2018-03-09-20-09-51-352_com.bet365Wrapper.Bet365_Application.jpg
 
Nilale sasa maana kilichonikuta leo siri yangu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Inplay.

EPL 2

Middle vs Brighton

Middle over 1 goal full time

Odds: 1.57
*******BET LOST*****

Duh,
Ni bora tu tumlilie Mwenyezi Mungu.

"Eeeh Mungu Baba, baba yetu mkuu ulie mbinguni.

Ebu tuepushe na huu upepo mbaya unaopuliza kuelekea kwetu

Kama ni majaribu, hebu tuepushe Nayo wkt huu

Kama ni mapepo, hebu yachomelee moto yasitusogelee tena

Kwa imani na uwezo mkuu ulokua nao,

Kwa moyo mmoja tunaamini umeshatenda miujiza.

Tunaamini mda wowote, kuanzia hivo sasa nyota zetu zakwenda kung'ara.

Tunaamini kuanzia hiv sasa, mitaji yetu yote inakwenda kurudi.

Tunaamini kuanzia hivi sasa, tunakwenda kutengeneza faida KUBWA sana kupitia jina lako.

EEH MUNGU TUSAIDIE.


Kwa pamoja,
****Wote Tuseme, Aamen*****
 
Back
Top Bottom