Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

upload_2018-3-9_22-0-43.png
 
Ndugu zanguni habari za usiku,jamani naomba ndugu zangu kama kuna application yakuchambua match vizri naomba ili na mm niweze kuchambua kabla ya kuweka mzigo.Make vipigo vimezidi jamani natumia princess tusaidiane jamani ndugu zangu .
Jalloftips.com, kuna uchambuzi wa mechi wa hali ya juu almost 80% hawakoseagi hawa aisee
 
Inplay.

EPL 2

Middle vs Brighton

Middle over 1 goal full time

Odds: 1.57
 
Nimedelete mikeka 1xbet kudadeki afuu hata sikumbuki... Hivi ikitiki wataniwekea pesa kweli????
 
Back
Top Bottom