Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

upload_2018-3-9_21-34-38.png
 
Ndugu zanguni habari za usiku,jamani naomba ndugu zangu kama kuna application yakuchambua match vizri naomba ili na mm niweze kuchambua kabla ya kuweka mzigo.Make vipigo vimezidi jamani natumia princess tusaidiane jamani ndugu zangu .
 
Bado dk tano mechi ianze Olympiacos vs Bamberg basketbal. Bamberg anaonekana kama underdog ila tucheze nae vikapu vya over 15.5 au 16.5 kwa quarter 1 huku tukiangalia live ugumu wa MechI Ulivyo.
 
Back
Top Bottom