Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wakuuu msaada wenu hapa kuna hii game ya
mainz vs shalke 04
niliwapa option ya 1substitutions ni 2ht time na kwel 1halftime hakuna subu iliyofanyika,
hadi 2half time ndo sub.
sasa wao wameandika betlost.na chart nao wanasema km sikubaliani na wao nipeleke claim zangu mbele wamenipa email.sijajua mi ndo nnimekosea kuelewa hiyo option au inakuwaje?
na km nimepata ntafanyaje ili nipate pesa yangu maana ilibaki hiyo tuu.na hiyo mail waliyonipa sielewi nachart nao vip?msaada please.
 
Weka screenshot tuone tunkusaidia vip Mkuu
 
Hebu nyoosha maelezo mkuu,

Unafupisha fupisha sana, nmeshindwa kukuelewa kabisa mkuu.
 
wakuuu msaada wenu hapa kuna hii game ya
mainz vs shalke 04
niliwapa option ya 1substitutions ni 2ht time na kwel 1halftime hakuna subu iliyofanyika,
hadi 2half time ndo sub.
sasa wao wameandika betlost.na chart nao wanasema km sikubaliani na wao nipeleke claim zangu mbele wamenipa email.sijajua mi ndo nnimekosea kuelewa hiyo option au inakuwaje?
na km nimepata ntafanyaje ili nipate pesa yangu maana ilibaki hiyo tuu.na hiyo mail waliyonipa sielewi nachart nao vip?msaada please.
Anyway,

Nikuelewa, Hiyo ni option ya "Substitution in each half"

Maana ake wewe umebet, Substitution ya kwanza itokee in the 2nd half.

Sasa kwa bahati mbaya niseme tu,
Wewe ndo hukuielewa hiyo option.

Hizo substitution ziko ktk makundi matatu.

Ya kwanza, First substitution in the first half
Hii inamaanisha, substitution ya kwanza itokee ndani ya DKK 45 za kwanza za mchezo.

Inakoma pale refa anapopuliza filimbi ya kumalizika kwa DKK 45 za kwanza.

Ya pili, First substitution at half time
Hii inamaanisha sub ya kwanza itokee ndani ya dkk 45 za kwanza pamoja na DKK 10 za mapumziko kwny changing rooms.

Ya tatu, First substitution at second half
Hii inamaanisha sub ya kwanza itokee kuanzia punde tu firimbi ya kuanza 2nd half inapopulizwa mpk mwisho wa mchezo.

KILICHOTOKEA SASA,
Kilichotokea kwny huo mchezo cha kwanza ni "substitution at half time"

Maana ake kuna sub imefanyika kule kule kwny changing room kabla ya filimbi ya 2nd half kuanza.

Mchezaji kabadilishwa kabla ya second half haijaanza.

HITIMISHO,
Ni vema ukazistudy zaidi hizo option na kujiridhisha kabla hujaweka stake YAKO.

NB:
Mkuu, Asikudanganye MTU Hakuna option yoyote eti ni nyepesi ktk betting.

OPTIOM ZOTE ZIMEKAA KIMTEGO MTEGO.

UKIINGIA KICHWA KICHWA, UNALIWA WEWE KICHWA.

***NEXT TIME, BE CAREFUL BROTHER***
 
wakuuu msaada wenu hapa kuna hii game ya
mainz vs shalke 04
niliwapa option ya 1substitutions ni 2ht time na kwel 1halftime hakuna subu iliyofanyika,
hadi 2half time ndo sub.
sasa wao wameandika betlost.na chart nao wanasema km sikubaliani na wao nipeleke claim zangu mbele wamenipa email.sijajua mi ndo nnimekosea kuelewa hiyo option au inakuwaje?
na km nimepata ntafanyaje ili nipate pesa yangu maana ilibaki hiyo tuu.na hiyo mail waliyonipa sielewi nachart nao vip?msaada please.
Mkuu ili uweze kupatia ni lazima sub zifanyike 2nd half zikifanyika 1st half ni lost pia zikifanyika halftime ni lost.
Kwa hiyo kama zimefanyika wapo kwenye vyumba vya mapumziko kule ndani ni lost ni lazima zifanyike pale refa anapopuliza kipyenga cha kipindi cha pili
 
wakuuu msaada wenu hapa kuna hii game ya
mainz vs shalke 04
niliwapa option ya 1substitutions ni 2ht time na kwel 1halftime hakuna subu iliyofanyika,
hadi 2half time ndo sub.
sasa wao wameandika betlost.na chart nao wanasema km sikubaliani na wao nipeleke claim zangu mbele wamenipa email.sijajua mi ndo nnimekosea kuelewa hiyo option au inakuwaje?
na km nimepata ntafanyaje ili nipate pesa yangu maana ilibaki hiyo tuu.na hiyo mail waliyonipa sielewi nachart nao vip?msaada please.
wakuuu msaada wenu hapa kuna hii game ya
mainz vs shalke 04
niliwapa option ya 1substitutions ni 2ht time na kwel 1halftime hakuna subu iliyofanyika,
hadi 2half time ndo sub.
sasa wao wameandika betlost.na chart nao wanasema km sikubaliani na wao nipeleke claim zangu mbele wamenipa email.sijajua mi ndo nnimekosea kuelewa hiyo option au inakuwaje?
na km nimepata ntafanyaje ili nipate pesa yangu maana ilibaki hiyo tuu.na hiyo mail waliyonipa sielewi nachart nao vip?msaada please.
[email protected]>. wapekee malalamiko hawa jamaa wako vzuri, hawa wa kuchat nao wanazingua wanaonekana hawajui chochote yani ni weupe kichwani. Mimi kama naona ni issues ngum huwa sijisumbi kupurukushana nao naenda moja kwa moja dawati la wataalam. juzi kati account yangu iliniletea maruweruwe yani nikilog out nikirudi ID numba zinabadilika yani nikawa na ID kama 7 mikeka yangu na visenti vyote vikapotea. hao jamaa wa inbox nilichat nao Hanna lolote la maana nililosaidiwa nikazama kule kumbe issue yenyewe ilikuwa ndogo tu account ikakaa sawa na mpunga ukarudi bahati nzuri na ile mikeka ikawa ilishatick

kuhusu hapo sub, inaonekana sub imeganyika dk ya 46' halafu ukichunguza kwa upande wa sofascore , alama ya sub iko Mara mbili ktk kipindi cha dk ya 46' huku moja ikiwa na alama ya mshare mwekundu
 
Mkuu,
Hiyo game sub ya kwanza imefanyika kwny changing rooms

Ambayo inaitwa

" First Substitution at half time"

Sasa yeye kacheza

"First Substitution at second half"
 
In play

Argentina

Gymnasia vs banfield

Corners- over 10.5 full time

Odds: 1.95
 
Kumbe bado uko macho?
Mkuu kwangu kuna vitu vya kukata, kukata mti, kukata mtama lakini sio kukata tamaa..

Sasa muhindi kaishanipunguzia mtaji nalala ili iweje. Nipo macho mkuu, najifunza baadhi ya vitu katika live play.
 
Back
Top Bottom