Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nilichukua Roma, Monaco na Braga... Hao Netherlands hawana maana, nilishawaweka kwa black list kitambo
Hongera sana Mkuu....

Huyu telstar nilimweka ningejua ningemtia Win first half.....

Hizo team nyingine zilizobaki pia niliweka kwa mikeka miwili nikaongezea na baadhi nikalala leo nimeamka kuchungulia nikakuta mdau ka screenshot matokeo ya mechi za jana ndio kuingia nakuta mzigo unasoma[emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
BET WOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOON
upload_2018-3-10_8-57-57.png


BET WOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOON
upload_2018-3-10_8-58-36.png
 
[email protected]>. wapekee malalamiko hawa jamaa wako vzuri, hawa wa kuchat nao wanazingua wanaonekana hawajui chochote yani ni weupe kichwani. Mimi kama naona ni issues ngum huwa sijisumbi kupurukushana nao naenda moja kwa moja dawati la wataalam. juzi kati account yangu iliniletea maruweruwe yani nikilog out nikirudi ID numba zinabadilika yani nikawa na ID kama 7 mikeka yangu na visenti vyote vikapotea. hao jamaa wa inbox nilichat nao Hanna lolote la maana nililosaidiwa nikazama kule kumbe issue yenyewe ilikuwa ndogo tu account ikakaa sawa na mpunga ukarudi bahati nzuri na ile mikeka ikawa ilishatick




kuhusu hapo sub, inaonekana sub imeganyika dk ya 46' halafu ukichunguza kwa upande wa sofascore , alama ya sub iko Mara mbili ktk kipindi cha dk ya 46' huku moja ikiwa na alama ya mshare mwekundu
mkuu kinachonishinda hpo nikutuma hiyo email maana kila nikicheck sielewi naona tuu cc.subject,arial sijajua mi naandika wap?
 
Good Morning wakuuu

Jana ilikuwa ngumu kama jiwe

Mtaji ulishuka hadi 25,000 lakini nashukuru nilipambana nikalala na 84,000/=

Vipindi vigumu ndiyo vinatukomaza na kutufanya tuufahamu vizuri zaidi huu mchezo.

Mapambano yaendelee
 
Habar za asbuh wakuu,

Nna imani leo mambo yamerejea kwny mstari.

Upepo mbaya ulokuepo Jana asubuh mpk jioni nna imani umepita umepita.

South america nmekomaa usiku wa manane,

Nmerudisha mtaji wangu wote ulopotea mchana.

Always nasema,

Hali ilokuepo jana na juz, ni upepo mchafu tu.
Unakuepo tu kwa mda mfupi na kupita.
Baada ya hapo mambo yanarejea ktk mstari.

****Mapambano yanaendelea****
 
Good Morning wakuuu

Jana ilikuwa ngumu kama jiwe

Mtaji ulishuka hadi 25,000 lakini nashukuru nilipambana nikalala na 84,000/=

Vipindi vigumu ndiyo vinatukomaza na kutufanya tuufahamu vizuri zaidi huu mchezo.

Mapambano yaendelee
Umeongea vema sana.

Hakika wewe ni mpambanaji wa kweli.
 
Back
Top Bottom