Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Habar za asbuh wakuu,

Nna imani leo mambo yamerejea kwny mstari.

Upepo mbaya ulokuepo Jana asubuh mpk jioni nna imani umepita umepita.

South america nmekomaa usiku wa manane,

Nmerudisha mtaji wangu wote ulopotea mchana.

Always nasema,

Hali ilokuepo jana na juz, ni upepo mchafu tu.
Unakuepo tu kwa mda mfupi na kupita.
Baada ya hapo mambo yanarejea ktk mstari.

****Mapambano yanaendelea****
Lets go, lets go guys..
 
Good Morning wakuuu

Jana ilikuwa ngumu kama jiwe

Mtaji ulishuka hadi 25,000 lakini nashukuru nilipambana nikalala na 84,000/=

Vipindi vigumu ndiyo vinatukomaza na kutufanya tuufahamu vizuri zaidi huu mchezo.

Mapambano yaendelee
Safi kabisa, hongera..

Mie nafight kurud kwenye mstari kwenye kamali yoyote hayo ni mambo ya kawaida sana. Siku mbaya zipo.
 
Habar za asbuh wakuu,

Nna imani leo mambo yamerejea kwny mstari.

Upepo mbaya ulokuepo Jana asubuh mpk jioni nna imani umepita umepita.

South america nmekomaa usiku wa manane,

Nmerudisha mtaji wangu wote ulopotea mchana.

Always nasema,

Hali ilokuepo jana na juz, ni upepo mchafu tu.
Unakuepo tu kwa mda mfupi na kupita.
Baada ya hapo mambo yanarejea ktk mstari.

****Mapambano yanaendelea****


Nilichoka nikalala mapema, ngoja tuangalie leo
 
mkuu kinachonishinda hpo nikutuma hiyo email maana kila nikicheck sielewi naona tuu cc.subject,arial sijajua mi naandika wap?
mkuu hiyo space mbona haina tatzo unaweza kupaacha kama palivyo au ukaandika tu '1xbet"
 
Jamani hawa beyonic wa 1xbet hawajaingiza hela kwenye akaunt yangu ya 1xbet toka jana pamoja na kuwatumia email
 
******BET WOOOOOON*****
Mzee baba nataka nijitupie hapa. Niingie kwa option ipi?
2018_03_10_11.14.19.jpg
 
Back
Top Bottom