ilemi mahome
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 883
- 619
Weka screenshot tuone tunkusaidia vip Mkuuwakuuu msaada wenu hapa kuna hii game ya
mainz vs shalke 04
niliwapa option ya 1substitutions ni 2ht time na kwel 1halftime hakuna subu iliyofanyika,
hadi 2half time ndo sub.
sasa wao wameandika betlost.na chart nao wanasema km sikubaliani na wao nipeleke claim zangu mbele wamenipa email.sijajua mi ndo nnimekosea kuelewa hiyo option au inakuwaje?
na km nimepata ntafanyaje ili nipate pesa yangu maana ilibaki hiyo tuu.na hiyo mail waliyonipa sielewi nachart nao vip?msaada please.
Hebu nyoosha maelezo mkuu,wakuuu msaada wenu hapa kuna hii game ya
mainz vs shalke 04
niliwapa option ya 1substitutions ni 2ht time na kwel 1halftime hakuna subu iliyofanyika,
hadi 2half time ndo sub.
sasa wao wameandika betlost.na chart nao wanasema km sikubaliani na wao nipeleke claim zangu mbele wamenipa email.sijajua mi ndo nnimekosea kuelewa hiyo option au inakuwaje?
na km nimepata ntafanyaje ili nipate pesa yangu maana ilibaki hiyo tuu.na hiyo mail waliyonipa sielewi nachart nao vip?msaada please.
Anyway,wakuuu msaada wenu hapa kuna hii game ya
mainz vs shalke 04
niliwapa option ya 1substitutions ni 2ht time na kwel 1halftime hakuna subu iliyofanyika,
hadi 2half time ndo sub.
sasa wao wameandika betlost.na chart nao wanasema km sikubaliani na wao nipeleke claim zangu mbele wamenipa email.sijajua mi ndo nnimekosea kuelewa hiyo option au inakuwaje?
na km nimepata ntafanyaje ili nipate pesa yangu maana ilibaki hiyo tuu.na hiyo mail waliyonipa sielewi nachart nao vip?msaada please.
Mkuu ili uweze kupatia ni lazima sub zifanyike 2nd half zikifanyika 1st half ni lost pia zikifanyika halftime ni lost.wakuuu msaada wenu hapa kuna hii game ya
mainz vs shalke 04
niliwapa option ya 1substitutions ni 2ht time na kwel 1halftime hakuna subu iliyofanyika,
hadi 2half time ndo sub.
sasa wao wameandika betlost.na chart nao wanasema km sikubaliani na wao nipeleke claim zangu mbele wamenipa email.sijajua mi ndo nnimekosea kuelewa hiyo option au inakuwaje?
na km nimepata ntafanyaje ili nipate pesa yangu maana ilibaki hiyo tuu.na hiyo mail waliyonipa sielewi nachart nao vip?msaada please.
wakuuu msaada wenu hapa kuna hii game ya

info-en@1xbet.com>. wapekee malalamiko hawa jamaa wako vzuri, hawa wa kuchat nao wanazingua wanaonekana hawajui chochote yani ni weupe kichwani. Mimi kama naona ni issues ngum huwa sijisumbi kupurukushana nao naenda moja kwa moja dawati la wataalam. juzi kati account yangu iliniletea maruweruwe yani nikilog out nikirudi ID numba zinabadilika yani nikawa na ID kama 7 mikeka yangu na visenti vyote vikapotea. hao jamaa wa inbox nilichat nao Hanna lolote la maana nililosaidiwa nikazama kule kumbe issue yenyewe ilikuwa ndogo tu account ikakaa sawa na mpunga ukarudi bahati nzuri na ile mikeka ikawa ilishatickwakuuu msaada wenu hapa kuna hii game ya
mainz vs shalke 04
niliwapa option ya 1substitutions ni 2ht time na kwel 1halftime hakuna subu iliyofanyika,
hadi 2half time ndo sub.
sasa wao wameandika betlost.na chart nao wanasema km sikubaliani na wao nipeleke claim zangu mbele wamenipa email.sijajua mi ndo nnimekosea kuelewa hiyo option au inakuwaje?
na km nimepata ntafanyaje ili nipate pesa yangu maana ilibaki hiyo tuu.na hiyo mail waliyonipa sielewi nachart nao vip?msaada please.
*****BET WOOOON****Inplay.
Argentina
Godoy vs arsenal
Godoy to score-Yes
Odds: 1.70
Pamoja mkuu*****BET WOOOON****
Mkuu,info-en@1xbet.com>. wapekee malalamiko hawa jamaa wako vzuri, hawa wa kuchat nao wanazingua wanaonekana hawajui chochote yani ni weupe kichwani. Mimi kama naona ni issues ngum huwa sijisumbi kupurukushana nao naenda moja kwa moja dawati la wataalam. juzi kati account yangu iliniletea maruweruwe yani nikilog out nikirudi ID numba zinabadilika yani nikawa na ID kama 7 mikeka yangu na visenti vyote vikapotea. hao jamaa wa inbox nilichat nao Hanna lolote la maana nililosaidiwa nikazama kule kumbe issue yenyewe ilikuwa ndogo tu account ikakaa sawa na mpunga ukarudi bahati nzuri na ile mikeka ikawa ilishatick
kuhusu hapo sub, inaonekana sub imeganyika dk ya 46' halafu ukichunguza kwa upande wa sofascore , alama ya sub iko Mara mbili ktk kipindi cha dk ya 46' huku moja ikiwa na alama ya mshare mwekundu
Kumbe bado uko macho?Pamoja mkuu
Mkuu kwangu kuna vitu vya kukata, kukata mti, kukata mtama lakini sio kukata tamaa..Kumbe bado uko macho?
Mapambano yanaendeleaMkuu kwangu kuna vitu vya kukata, kukata mti, kukata mtama lakini sio kukata tamaa..
Sasa muhindi kaishanipunguzia mtaji nalala ili iweje. Nipo macho mkuu, najifunza baadhi ya vitu katika live play.
Naona jini usingizi ananizidi nguv, japo nimejaribu kumzuia na kakao ika haijafua dafuMapambano yanaendelea
*****LOST****In play
Argentina
Gymnasia vs banfield
Corners- over 10.5 full time
Odds: 1.95