makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Lets go, lets go guys..Habar za asbuh wakuu,
Nna imani leo mambo yamerejea kwny mstari.
Upepo mbaya ulokuepo Jana asubuh mpk jioni nna imani umepita umepita.
South america nmekomaa usiku wa manane,
Nmerudisha mtaji wangu wote ulopotea mchana.
Always nasema,
Hali ilokuepo jana na juz, ni upepo mchafu tu.
Unakuepo tu kwa mda mfupi na kupita.
Baada ya hapo mambo yanarejea ktk mstari.
****Mapambano yanaendelea****
Safi kabisa, hongera..Good Morning wakuuu
Jana ilikuwa ngumu kama jiwe
Mtaji ulishuka hadi 25,000 lakini nashukuru nilipambana nikalala na 84,000/=
Vipindi vigumu ndiyo vinatukomaza na kutufanya tuufahamu vizuri zaidi huu mchezo.
Mapambano yaendelee
Habar za asbuh wakuu,
Nna imani leo mambo yamerejea kwny mstari.
Upepo mbaya ulokuepo Jana asubuh mpk jioni nna imani umepita umepita.
South america nmekomaa usiku wa manane,
Nmerudisha mtaji wangu wote ulopotea mchana.
Always nasema,
Hali ilokuepo jana na juz, ni upepo mchafu tu.
Unakuepo tu kwa mda mfupi na kupita.
Baada ya hapo mambo yanarejea ktk mstari.
****Mapambano yanaendelea****
mkuu hiyo space mbona haina tatzo unaweza kupaacha kama palivyo au ukaandika tu '1xbet"mkuu kinachonishinda hpo nikutuma hiyo email maana kila nikicheck sielewi naona tuu cc.subject,arial sijajua mi naandika wap?
Madrid umecheza option gani?Wakuu kama mnajua kudodosha sala mnisaidie yaan kabaki madrid tu nivute ka m kangu
Single bet madrid winMadrid umecheza option gani?
Hii odd sijui kwa nini nimeiogopa?Inplay
Kashima antlers vs Hiroshima
Corner hanndcap: Kashima antlers (+2.5) full time
Odds: 1.71
******BET WOOOOOON*****Inplay
Kashima antlers vs Hiroshima
Corner hanndcap: Kashima antlers (+2.5) full time
Odds: 1.71
Nenda ukute unabiga balimi ndogoSingle bet madrid win
Ishawin tayariHii odd sijui kwa nini nimeiogopa?
Tayar nina vi balimi viwili hapa bard kabsa,ila mkuu mambo yakibadilika ntakutafutaNenda ukute unabiga balimi ndogo
Halafu ilikuwa tamu kweli aiseeIshawin tayari
Hii odd sijui kwa nini nimeiogopa?
Mzee baba nataka nijitupie hapa. Niingie kwa option ipi?******BET WOOOOOON*****
Ngoja niifanyie analysis kdgMzee baba nataka nijitupie hapa. Niingie kwa option ipi?View attachment 710048
PoaNgoja niifanyie analysis kdg