Braza gem 10 zimekushinda 200 utaziweza kweli? Unachotaka kukifanya kitaa tunakiita jaribio lakutaka kujinyonga asee.Wadau hiv kuna COMPANY ambayo haina limit ya matches kwenye mkeka mmoja...? Yaan unaweza bet matches 200 au 300 kwenye mkeka mmoja..?
Zaman niliwahi kujaribu mbet.. sijui kwa sasa..Wadau hiv kuna COMPANY ambayo haina limit ya matches kwenye mkeka mmoja...? Yaan unaweza bet matches 200 au 300 kwenye mkeka mmoja..?
Kama vp toka na hii uhakika hutalala njaa leo. View attachment 710053
Analeta ushabiki na mahaba Niue aliyonayo kwa Man utd kwny mikeka.Hlf unajua man U ana uefa jumanne?
Akijitahidi sana ni draw
Analeta ushabiki na mahaba Niue aliyonayo kwa Man utd kwny mikeka.
Hiyo haina tofauti sn naMkuu DeepPond na wengineo,ebu nisaidieni hii option kwenye 1xbet inayosema Win or Draw,maana naona kuna
:1 or Draw (away win-refund)-2
:2 or draw(home win-refund)-5
:1 or draw (away win-refund) X
:2 or draw (home win-refund)-X
Naona mambo yamejipa mkuuInolay
Australia
W.Sydney vs w.phoenix
Yellow card- W.Sydney over 1.5 full time
Odds: 1.80
LOST ZA JANA MAREJESHO
View attachment 709957
View attachment 709958
View attachment 709959
View attachment 709960
Bado moja.Naona mambo yamejipa mkuu
hahahaha unataka ugundue nini mkuu? afu utacheza zennye odd ya ngapi? 1.008?Wadau hiv kuna COMPANY ambayo haina limit ya matches kwenye mkeka mmoja...? Yaan unaweza bet matches 200 au 300 kwenye mkeka mmoja..?