Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kinachosumbua nisehemu ya kujaza ilenamba ya malipo mfano 4ZA1216KVRD.Sasa sehemu ya kujaza izi naomba hilipesa isome ndosiioni.
 
wadau iv hao 1xbet wana App, mwenye link naomba anisaidie na jins ya kutumia
 
sidhani sana kwani naona baadhi ya makampuni yana option hadi 100+ so sidhani kama option zote zitakuwa correct score labda selection yako tu
Mm Nina account kampuni zote za tz Kaka. Huwezi kulinganisha kampuni yoyote ile tz na bet365 au 1xbet. Hao princessbet ndio waduanzi kweli kweli kuna siku nikiweka 100k kila nikibonyeza option nayoitaka inasema error error mwisho wa siku mkeka ukakubali kuangalia kumbe washabadirisha option ya vikapu hadi nikaliwa 100k yangu.
 
Km kuna Mwenye namba ya Mlipa anisaidie maana du!nimedepost 20000 .nione km watailudisha maana kuifanya isome imeshindikana
 
Muhindi nomaaa
1520695921285.png
 
LIVE Germany Bundesliga I

Hertha Berlin 0-0 SC Freiburg
Total Goals Over 0.5 FT
 
LIVE Germany Bundesliga I

TSG Hoffenheim 1-0 Wolfsburg
Total Goals Over 1.5 FT
 
LIVE Spain Primera Liga

Sevilla 0-1 Valencia
Total Goals Over 1.5 HT
 
Hii pesa ya bonus wanaandika 1XGame condition ya kuitumia ni home win or draw?
 
Huyu refa game ya valencia msenge sana. Valencia wanapiga kiatu anazipotezea hadi wanataka kumpiga.
 
Back
Top Bottom