Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Every little helps brothers
Screenshot_2018-03-10-16-50-38-629_com.bet365Wrapper.Bet365_Application.jpg
 
Dah, wee acha tu ndugu yangu.

Mm shemej YAKO keshanizoea, hii kitu ishaingia mpk kwny damu mpk kwny mfupa.

Sema sometimes INA tension ya hali ya juu sn

Hii siku ya Jana na Leo, imekua na upepo mbaya sn.

Inahitaj moyo wa ujasili sana kuhimili mikiki mikiki.

Yaan MTU uko macho 48hrs nonstop kazini, alafu eti unafunga hesabu na hasara.

KIUKWELI INAUMA SN,

Na kama huna roho ya kijasili, inaweza kukusababishia frustration.

Yaan unaezajikuta tu umemtolea MTU tusi BILA kujijua.

ALL IN ALL,
HIKI NI KIPINDI KIFUPI SN CHA MPITO TU,

NI LAZIMA KIWEPO ILI KULETA MAANA HALISI YA HII KAZI YETU YA BETTING.

KUA, HAKUNA KULA TU FAIDA 100%, PIA KUNA HASARA.

ANYTIME SOON,MAMBO YANAKAA SAWA.
Best msg of all time
 
wadau hii imekaaje
"nimeweka timu 11 na moja tu imezingua nne kati ya hizo bado hazijacheza na nikiangalia status ya mkeka bado hawajaweka lost je hii imekaaje wadau"
 
Kusema ukweli 1XBET ni Kampuni ambayo haijawahi kutokea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120]

Kama itakuja kupata mpinzani labda baadae sana. HAHHAHAHAAHHAHA

Wapinzani wake kibiashara watakuwa WANATEEETE WANATETEEEMEKA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ndugu zanguni, itumieni asee...

Kama bado, YOU ARE MISSING ALOOOOT.
 
Nikajua utaweka na supporting evidence ya kamkeka ili wana watembee nao kumbe maneno matupu
 
Nimechagua option ya corners 3ways nikaweka over 8 lakin game imeisha kwa corner 6:1 alafu bet lost, hii imekaaje wadau?!
 
Back
Top Bottom