Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Masahihisho siyo over 8 ni under 8
Screenshot huo mkeka inaweza kuwa umetafsiri vibaya maana hakuna 3way ya kona then useme under 8....3way tafsiri yake ni matokeo ya aina tatu yaani timu ya nyumbani ishinde au ya ugenini ishinde au watoke sare kwenye option uliyochagua
 
Nimechagua option ya corners 3ways nikaweka over 8 lakin game imeisha kwa corner 6:1 alafu bet lost, hii imekaaje wadau?!
3 way corner-Over 8

Maana ake ni kwamba timu yoyote itakayopata ushindi wa corner, ziwe ni imepiga Corner 8+

Sasa hiyo timu YAKO iloshinda corner, imepiga corner 6 tu.

HAPO INASOMEKA "LOST"
 
Screenshot huo mkeka inaweza kuwa umetafsiri vibaya maana hakuna 3way ya kona then useme under 8....3way tafsiri yake ni matokeo ya aina tatu yaani timu ya nyumbani ishinde au ya ugenini ishinde au watoke sare kwenye option uliyochagua
Huu hapa
Screenshot_20180310-212504.jpg
 
Inplay

Chelsea vs Crystal palace

Yellow card- C.palace over 0.5 yellow card full time

Odds: 1.41
 
Inplay

Chelsea vs Crystal palace

Yellow card- C.palace over 0.5 yellow card full time
,
Odds: 1.41
 
Kusema ukweli 1XBET ni Kampuni ambayo haijawahi kutokea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120]

Kama itakuja kupata mpinzani labda baadae sana. HAHHAHAHAAHHAHA

Wapinzani wake kibiashara watakuwa WANATEEETE WANATETEEEMEKA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ndugu zanguni, itumieni asee...

Kama bado, YOU ARE MISSING ALOOOOT.
Ina kitu gani kipya mkuuu...
 
Inachoma sana pale unapousuka mkeka wako wa tim kama 6 hiv halaf tim1 tu ndogo tena kutoka africa ikakuchania mkeka qa pesa ndef,daah.noma sana,getafe niokoen bas wakuu
 
Ina kitu gani kipya mkuuu...
ni kampuni gani ya kibongo unaweza kubet
crossbar?
medical team to enter the pitch over 2.5?/under 2.5?
both goalkeeper to touch the ball ina first minute after kickoff?
goal scoared by kicking
which team will kickoff?

na makorokocho mengine kama throw in, foul before corner e.t.c
 
Inolay

Bundesliga

Bayer livercuzen vs Borussia monchenglach

Over 2.5 yellow card full time

Odds: 1.52
 
Back
Top Bottom