*****BET WOOOOOON******Inplay
Chelsea vs C.palace
First half foul- over 5.5
Odds: 1.40
Soton leo kachana odds 10+ za konaHahhahaha. Tuko Pamoja sana Mzee wa Corner[emoji120]
******BET WOOOOOON*****Inplay
Chelsea vs crystal palace
Corners first half- Chelsea win
Odds: 1.90
Mzee unawanyosha aisee. Kama una-stake 10k kila mkeka utakuwa umembabua kwa 200k******BET WOOOOOON*****
Wacha nikae macho, sijui inakuwaje odds zinanipita.******BET WOOOOOON*****
Screenshot huo mkeka inaweza kuwa umetafsiri vibaya maana hakuna 3way ya kona then useme under 8....3way tafsiri yake ni matokeo ya aina tatu yaani timu ya nyumbani ishinde au ya ugenini ishinde au watoke sare kwenye option uliyochaguaMasahihisho siyo over 8 ni under 8
3 way corner-Over 8Nimechagua option ya corners 3ways nikaweka over 8 lakin game imeisha kwa corner 6:1 alafu bet lost, hii imekaaje wadau?!
Mie sasa hvi sichambui. Nafanya kutembelea nyota yako tu. Nimefanya ku-stake buku 2 kila mkeka nashukuru kesho mke wangu atakula kuku wa kienyeji mkubwa sana.******BET WOOOOOON*****
Huu hapaScreenshot huo mkeka inaweza kuwa umetafsiri vibaya maana hakuna 3way ya kona then useme under 8....3way tafsiri yake ni matokeo ya aina tatu yaani timu ya nyumbani ishinde au ya ugenini ishinde au watoke sare kwenye option uliyochagua
Ina kitu gani kipya mkuuu...Kusema ukweli 1XBET ni Kampuni ambayo haijawahi kutokea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120]
Kama itakuja kupata mpinzani labda baadae sana. HAHHAHAHAAHHAHA
Wapinzani wake kibiashara watakuwa WANATEEETE WANATETEEEMEKA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndugu zanguni, itumieni asee...
Kama bado, YOU ARE MISSING ALOOOOT.
Inplay
Chelsea vs Crystal palace
Yellow card- C.palace over 0.5 yellow card full time
,
Odds: 1.41
Hapo ni lost kaka si unaona 6 na 3 ambazo jumla zinakua 9 na wewe uliweka under 8
****BET WOOON****Inplay
Chelsea vs Crystal palace
Yellow card- C.palace over 0.5 yellow card full time
,
Odds: 1.41
Nmeichelewa, wameshahamishia ober 15.5Inplay
Chelsea vs palace
Fouls- over 13.5 full time
Odds: 1.70
ni kampuni gani ya kibongo unaweza kubetIna kitu gani kipya mkuuu...