Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Porto porto port mpaka nimlete lukaku na bakayoko ndo utaona umuhimu wa mkeka,,,
Ni tatizo kubwa sana.

Au niite janga kubwa sana, kwny akili ya MTU anayeangaikia mafanikio bila kua na imani kua atafanikiwa.

IMANI ZENU HABA NI MOJAWAPO YA ADUI MKUBWA WA MAFANIKIO YENU.

Bila kupepesa maneno,
Mchawi wenu ni nyinyi wenyewe na nafsi zenu.

Kama ni gundu, ni Mnajipiga gundu wenyewe kwa imani ZENU haba mioyoni mwenu.

Always nasema,
HUWEZI UKAFANIKIWA OUTSIDE, WAKATI INSIDE NAFSI YAKO INAWAZA KUSHINDWA.
 
Back
Top Bottom