NOKIALUMIA
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 397
- 280
Haha mjomba huo mpira
*****BET WOOOOOON*****In play
Ferreira vs Porto
Either team to be Booked
Odds: 1.433
[emoji818] [emoji818] [emoji818]Angalia live score
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji32][emoji32][emoji32][emoji33][emoji33][emoji33]Ni ngumu Porto kuscore penalty wkt nafsi yako haina imani ya ushindi.
Porto ana millioni yako Mzee????Penalt missed ::😛orto
Na hii ni "Betting"Haha mjomba huo mpira
We inayokufaaa pole::::::Na hii ni "Betting"
Kazi kama kazi nyingine.
Kama huna imani na kazi unayoifanya, always utakua MTU wa kula hasara kwny hiyo kazi husika.
Ni bora tu kama huna imani na unachokifanya,
Its better uache, au ukatafte tu kazi nyingine.
KWA TABIA HIZI, KAZI YA BETTING HAIKUFAI.
Wish u all the bestWe inayokufaaa pole::::::
Sijaanza leo kubet na siachi. Nahis mi ni mkongwe zaidi yako ndo mana nakuambia mkeka kama unachanika unachanika tu ::::IMANI NI ISSUE NYINGINE
Tuko pamoja mkuuAsante kwa kutugawia maarifa bila uchoyo
wandugu ebu nipen matokeo ya fluminense vs nova iguacu, Brazilian hao
Daah nimeona mkeka wa jamaa nimemwonea huruma.....Porto anachomaa Kibandaa hukooo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji33][emoji33][emoji33]
Kama ni M-Lipa namba zao hiziWanazingua kulipa hawa mawakala wa 1xbet,msaada naomba namba yao.
Asante mkuuKama ni M-Lipa namba zao hizi
+255 752 869 302
+255 715 222 132