Jaman kuwen makin na 1xbet nimeanza kuwaogopa Jana account yangu imelala na 14000 na kuna bet za mchana 2 zilikua na 11000 lakin mpaka usku zilikua azijalipwa na zote zilikua won,chakushangaa asbh nmefungua nakuta account inasoma 0 kibaya bet history zote zimefutwa kwenye account.
Mkuu,
Nikutoe wasiwasi
Hilo Ni swala LA kawaida, na wewe SIO wa kwanza.
Liliwahi nitokea, account ikafuta history zote, salio likasoma "nul"
Ila nliwaona technical team,
Walichosema
" Kwa sasa unashauriwa kutumia web, app yetu inacrush Mara kwa Mara kunapotokea muingiliano wa data kati ya App developer na App user"
"Tuwie radhi, App yetu kwa sasa bado iko ktk development stage, ikikamilika ipasavyo hizi hitilafu hazitojitokeza tena"
Ushauri:
Mkuu,Tumia web kwa usalama zaid wa kazi zako
Kuhusu kuchelewa,
Nadhan tatizo pia linaweza kua bado Ni app, Maana mda unaosema wewe ulitoa pesa.
SAA 1 kabla nilitoa pesa pia na haijanisumbua.
Au km ni tatizo LA kimtandao, mda wowote pesa ako utarudishiwa.
JUST RELAX NA UENDELEE NA KAZI, PESA AKO IPO MKUU.