Nishawasili mkuuMkuu Deepond twende kazin mzee Baba
Kiongoz ushaid up wakat bet history zite zmefutwa? Labda ngoja niweke screen short ambayo niliwatumia jana na awajanipa jibu.Ya kweli haya? Unaweza leta ushaidi mkuu?
[emoji122] [emoji122]Mkuu,
Nikutoe wasiwasi
Hilo Ni swala LA kawaida, na wewe SIO wa kwanza.
Liliwahi nitokea, account ikafuta history zote, salio likasoma "nul"
Ila nliwaona technical team,
Walichosema
" Kwa sasa unashauriwa kutumia web, app yetu inacrush Mara kwa Mara kunapotokea muingiliano wa data kati ya App developer na App user"
"Tuwie radhi, App yetu kwa sasa bado iko ktk development stage, ikikamilika ipasavyo hizi hitilafu hazitojitokeza tena"
Ushauri:
Mkuu,Tumia web kwa usalama zaid wa kazi zako
Kuhusu kuchelewa,
Nadhan tatizo pia linaweza kua bado Ni app, Maana mda unaosema wewe ulitoa pesa.
SAA 1 kabla nilitoa pesa pia na haijanisumbua.
Au km ni tatizo LA kimtandao, mda wowote pesa ako utarudishiwa.
JUST RELAX NA UENDELEE NA KAZI, PESA AKO IPO MKUU.
Sijawahi kuona timu za kiQUMER kama Porto na Basel....na hawa Basel hii ni mara ya pili kunitia hasara lakini sikomi.
View attachment 712574
Big up,,,tumepata pesa ya jioni
Unahisi kuna utapeli aujaman mpaka sasa hiv nimeshahama hama karibia betting center zote...nimeamua nirudi kwa muhindi lakin bado nachezea za uso...hii michezo ya kubet nyuma ya pazia kuna mengi sana tusio yajua...tunachezewa akili kabisa...naacha rasmi
basi mm hizo ligi za chini huwa zinanipiga chini sana!!mara Ajax kadroo yaani sizitaki kabisaHallow, habari za kazi.
Pesa leo ipo eerste divisie. Cheza over 1.5. Japo odds ni chache ila utapata odds 3-4. Weka stake ya maana. Asubuhi kimeeleweka.
Kazi njema
Porto msenge Sana Jana kaharibu sherehe ya dunia.Sijawahi kuona timu za kiQUMER kama Porto na Basel....na hawa Basel hii ni mara ya pili kunitia hasara lakini sikomi.
View attachment 712574
Huu nilisita kushare [emoji120] [emoji120]Big up,,,tumepata pesa ya jioni