Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naomba kwa anayejua jinsi ya kuweka pesa princes bet anisaidie natumia laini ya tigo
Click username yako>>>deposit money>> hapa kuna njia mbili ya online au on phone.

1. Online (Mara nyingi huwa natumia hii)

Click pale kwenye Tigopesa online itakuletea kiasi cha kuingiza utaweka.

Baada ya hapo utapewa 3min watakutumia verification password kwa SMS utaingiza chini pale. Then Next. Utakuwa umemaliza.

Ndani ya dakika tatu ukichelewa utaambiwa uingize password za tigo pesa
 
Inaonekana umezoea kucheza normal. Three way. 1×2. Kwa taarifa yako hamna option nzuri kama kucheza magoli. Sababu timu zinakwenda uwanjani kucheza na kila 1 anataka kufunga.

Pendelea kucheza over 1.5 na btts. Inatoa sana.

Ligi nzuri ni
Uholanzi
Scotland
Norway nk.
 
ukicheza hizo option afu timu zikatoka 0-0 au 1-0 utakua umekula?
 
Sijawahi kuona timu za kiQUMER kama Porto na Basel....na hawa Basel hii ni mara ya pili kunitia hasara lakini sikomi.

View attachment 712574
Ha ha ha ....

Wee jamaa unanipa raha sana aisee.

Sio kwamba nakucheka kwa kuchanika mkeka, LA hasha.

Nacheka kwasababu,
Nkisoma comment yako, afu nkageuka na kutizama hiyo avartar yako

Najikuta, nacheka mpk basi.
 
Huyu nae kapotea jukwaa
Kiongoz deepond kimya sana leo au upo [emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
 
Upo likizo
 
Nimemaliza Shughuli zangu mapema nirudi nyumbani nianze kupambana na Kanji kwenye INPLAY. Tanesco wamefanya yao na simu 10% kudadekii.
 
kuhama kaqmpuni sio suluhisho sana kama hujagundua why unapoteza dailee. but kampuni pia inaweza kuwa kigezo cha kuliwa kama inakubana hasa upande wa uption rahisi kwa mtumiaji
Big yes. Shida kampuni nyingi za kibongo zinabana option au lazma network izingue ndio maana tunakimbilia 1xbet ambapo atleast kuna option nzuri.
 
19:00 2st Quarter
10 Sakarya BB
Usak Sportif
Under 43.5 pts 2nd Quarter odds 1.24
 
Kiongoz deepond kimya sana leo au upo [emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
Network inasoma "Edge",

Afu Bonge LA mvua&radi inanyesha.

Naingia online kwa kuvizia
 
Back
Top Bottom