Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naona mmetumwa kwa kasi kukomboa makampuni yenu. Mm juzi nimemkalisha 2.8 m huyo huyo 1xbet alafu nimetoa hela vizuri Tu. Ww nenda kacheze correct score sportpesa au soka bet .
Ha ha ha....

Wazalendo
 
Kawasaki 2x odds 1.22 and total yellow cards under 2.5 odds 1.35
mzigo wa bure huo upo 1xbet
 
Mkuu,
Yaan Wee ndo wakutamka maneno hayo kweli?

Leo mimi Nmegeuka kua agent ?
Mkuu mpotezee tunao tumia 1x tupo na izi ni changamoto ndogo ndogo sana tunacho vuna kupitia 1x ni kikubwa kuliko kilicho kua kinaliwa na local companies
 
Aisee Melbourne corner over 1.5 alipewa odds mlima. Sema uwoga umeniponza
 
M Lipa jana usiku wanadai walikuwa wanafanya maboresho kwe system na mim nilitums hela haikusoma, asubuh nimewapigia jamaa kaniambia nisikate simu arekebishe, alipomaliza kaniambia nikachek account nkakuta hela imesoma
 
mkuu weka namba hiyo niwacheki
 
M Lipa jana usiku wanadai walikuwa wanafanya maboresho kwe system na mim nilitums hela haikusoma, asubuh nimewapigia jamaa kaniambia nisikate simu arekebishe, alipomaliza kaniambia nikachek account nkakuta hela imesoma
Mkuu naomba namba yao uliowapigia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…