View attachment 713167.
Endeleeni kuwaamini hao 1XBet siku unashida ya hela yako wakuambie subiri miezi 6!
Mkuu,
Mm nadhan wewe ndo umeshndwa tu kua mwelewa.
Washakwambia subir wanashughurkia
Kikubwa hakikisha umewapa ac No, Transaction history, Payment vendor&adress unaemtumia
So soon wanaweka pesa yako, ikishindikana.
Ndani tu ya 24hr, wanacancell huo muamala na pesa yako inarudi direct kwny main account.
Baada ya hapo, watakutumia mail kutoa feedback na kuomba mrejesho wako kwa walichokifanya kama kimefanikiwa au lah!
Hao ni technical team, SIO wababaishaji km wale customer care.
KUA NA AMANI, WEWE SIO WA KWANZA.
Ukiujua utamu wa hawa warusi, Hizo mambo ndogo ndogo hata hazikuumizi kichwa.
Ni kitendo cha kuchill na kuendelea kupiga tu pesa,
Ukiwashika vizur kwny kuzielewa&kucheza vzur na options, ukaanza kuwala pesa non-stop.
Honestly nakwambia mkuu,
Hizo ndogo ndogo utajikuta tu umesha wasamehe tu bure,
MKUU,
HIZO TATZO ZA PESA KUKWAMA ZIPO KAMPUNI ZOTE DUNIANI
SIDHANI KM KUNA KAMPUNI HATA MOJA YA BETTING HUTAKUMBANA NA HILI TATZO.
CHA MSINGI
Katika hii biashara yetu, ni kuzingatia kwamba KAMPUNI bora.
Ni ile inokutengezea mazingira bora ya kuongeza faida na kipato chako.
Hizi kasoro ndogo ndogo, Tunaita
"Funika kombe,Mwanaharamu...."
Nna imani kuna kitu umenielewa mkuu,
****Kwa faida ya wana uzi wote****