Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu hivi hapo mchawi wangu n nani mpaka hapo?View attachment 713130

Mkuu
Wacheck Technical Team,

Hao customer care ni chenga tu, watakuchosha bure.

Mburula kabusa hawajui chochote na wanapenda kujibu jibu tu vitu vya kiufundi hata ambavyo hawavielewi.

Ukiwabana sana hao na maswali yako hayo, usishangae wakakupa jibu LA hovyo ukaichukia 1xbet.

Hilo tatizo lako ni dogo, na wewe SIO wa kwanza.

Nenda moja kwa moja kwny email, waone technical team.

Watakusaidia haraka sana.
 
Siyo wachina kwa wachina! AFC hiyo ni mashindano ya Asia! Shenua yuko poa sana namjua sana sana ila kama ni ligi yao team ya kuaminika ni Guangzhou Ever Grade!!!
 
Natafuta 50k, akili imeniambia hiyo hapo... Ushauri wakuu hapo.
IMG_20180313_103953_334.jpg
 
Siyo wachina kwa wachina! AFC hiyo ni mashindano ya Asia! Shenua yuko poa sana namjua sana sana ila kama ni ligi yao team ya kuaminika ni Guangzhou Ever Grade!!!
Ndo maana nkasistiza magoli

Hiyo suwon mkorea Naye ana pace sana

Anashambulia sana, hata kwny haya mashndano ya AFC amekua aktoa magoli mengi

Pia kwny ligi yao amekua akitoa goli nyingi.

Hii game "over 2.5" inatoka safi kabisa

Tena mapema sana
 
Haya ni mashindano makubwa ! Natoa Under 3.5 FT au 1.5 FH. na kama kuna option ya mfungaji nampa HULK ..... tusbiri embu tuone!
 
Haya ni mashindano makubwa ! Natoa Under 3.5 FT au 1.5 FH. na kama kuna option ya mfungaji nampa HULK ..... tusbiri embu tuone!
Mkuu,

Haya mashindano miaka yote yana wastani mkubwa sana wa magoli.

Mfano:
Mwaka jana, AFC ilkua na wastani wa magoli 3.52 kwa kila mechi

AFC mwaka huu INA wastani wa magoli 3.18 kwa kila mechi.

Sasa hapo utakua hauko serious, kwa wastani huo halafu MTU uende ukacheze "under"

Kiambatabisho tizama chini
2018-03-13-10-57-01.jpg
 
View attachment 713165

Average haimaanishi kuwa kila mechi ana magoli matatu bro! Hapo unakosea sana! Hizo team zimekutana mara 5! Mara 4 magoli yalikuwa chini ya 3. Na mwaka huu na mwaka jana Shenhua imekuwa team yakujiandaa sana na iko very strong kuanzia kikosi na usajili! Nimekuwa nikiwatizama live match zao za nyumbani kila mara siyo kwenye tv live uwanjani it’s one of the best teams in asia! Nampa 3.5 under na 1X na mfungaji wa shenhua anaweza kuwa Hulk kama watapata goli! Anyway tusibishane tusubiri match
 
Hiyo ya Roma usitake presha mkuu

Cheza corner tu apo

Hao wote shaktar&roma ni wadunguaji wazuri sana wa corner.

Hii game itakua na corner za kumwaga.

Hasa hasa first half
Asante mkuu pond.. Nazingatia ushauri wako.
 
Back
Top Bottom