Mkekabet Je?Bet bora TZ
Sportpesa
Premier bet
Meridian
Mbet
Sasa mnashupalia hayomengine ya nn km 1*bet
Mi 1×bet wamerudisha bwana mzee deepond sa ngapi tunaingia kazini
Bet bora TZ
Sportpesa
Premier bet
Meridian
Mbet
Sasa mnashupalia hayomengine ya nn km 1*bet
Mkuu,[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hahaha ma agent hao angalia usije lia
Siunaona watu wanalialia humu kwa options hata Biko ni the bestkwani umelazimishwa?ww baki huko walio 1xbet waache!!kwangu mm sioni kampuni inayozidi 1xbet kwa option
Mkeka app yao inanisumbua sana kwa mmMbet nayo ni bora mkuu si bora ungeniambia Mkeka bet
Mkuu,
Yaan Wee ndo wakutamka maneno hayo kweli?
Leo mimi Nmegeuka kua agent ?
OK,Mkuu achana nao inavyoonekana kuna Watu Wapo kazini.
Tokea nimeanza kutumia 1xbet nimejua kweli makampuni mengine yapo Kwa ajili ya kuchukua stake zetu... 1xbet ni kampuni nzuri sanaMkuu achana nao inavyoonekana kuna Watu Wapo kazini.
Achana nao mkuu.. Kizuri kinajiuza chenyewe. Kampuni za bongo zisipobadilika zitapotezwa kabisa Kwenye online platform wabaki na wale wa vikaratasiMkuu,
Yaan Wee ndo wakutamka maneno hayo kweli?
Leo mimi Nmegeuka kua agent ?
OK,
Tuendlee na kazi
Meridian ni mwaka sasa tangu niwakimbie vp tatizo la network weekend lishaisha? Make jmos meridian huwez bet yaan full kujicancelKwa upande wangu meridian bet ndio the best.
Naona mmetumwa kwa kasi kukomboa makampuni yenu. Mm juzi nimemkalisha 2.8 m huyo huyo 1xbet alafu nimetoa hela vizuri Tu. Ww nenda kacheze correct score sportpesa au soka bet .View attachment 713167.
Endeleeni kuwaamini hao 1XBet siku unashida ya hela yako wakuambie subiri miezi 6!
Alafu wadau mnaolalamika hamuoni hela kwenye account ya 1xbet Ngoja niwaeleze. Kunamambo mengine wenyewe tunajimix. Mfano mm siku za mwanzo kuanza kuitimia 1xbet nilijisahau nikadeposit sh 30000 bila kurequest nideposit kwenye ile page yao ya account via m pesa, hapo hela yangu ilipotea bure. Hivyo kabla hujaanza kuitumia kampuni tumia hata siku nzima kuisoma masharti yake ili ujue kuitumia vizuri. Mfano utumiaji wa Web nisafer zaidi ya utumiaji wa app. Sasa hapo lazma kunavitu ukijichanganya utapotea tu.
Kuna aliyefuata hii?View attachment 712594
View attachment 712595
View attachment 712596
Away team 2+,chukueni hela hiyo..