Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dah!. Nimepitwa na hela. Tanesco na Mvua aisee!!.. Hongereni wakuu. Mapambano yanaendelea
 
Liwalo na liwe.
Screenshot_2018-03-12-22-13-09-719_com.skybet.app.skybet.jpg
 
Inplay

Argentina

Difensa Justicia vs. Belgano

First half corners: Justicia double chance


Odds: 1.81
 
In play

Argentina

Difenso Justicia vs Belgano

Corners handicap: Difenso Justicia (+1.5)

Odds: 2.74
 
Jaman kuwen makin na 1xbet nimeanza kuwaogopa Jana account yangu imelala na 14000 na kuna bet za mchana 2 zilikua na 11000 lakin mpaka usku zilikua azijalipwa na zote zilikua won,chakushangaa asbh nmefungua nakuta account inasoma 0 kibaya bet history zote zimefutwa kwenye account.
hiyo issue iliyokutokea inaitwa multiple ID, ilinitokea pia Mimi, waInbox wakurekebishie pesa yako itarudi na account itakaa sawa.
 
Hawa 1xbet wanakataa Sh ngapi ukiwa unawepaa pesaa kwa njia ya Mpesa??????
 
Nafanyajee ilii wasiwe wananikata Pesaa nkiwa naweka pesaa kwa anaejuaa au ndo system yao Ilivyo????????
 
Man Utd 1
Wolves 1
Aston Villa 1
Shefield UTd 1
Ashton UTD 1X
Alloa Athletics 1
Shanghai Shenua 1

Weka elf 15-20! Bet responsibly [emoji6]
 
Back
Top Bottom