bhachu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 8,912
- 10,754
Shanghai shenhua hovyo kabisaYani zimekeraa sana *****...!! Kashima kanichania mikeka miwilii
Shanghai shenhua hovyo kabisaYani zimekeraa sana *****...!! Kashima kanichania mikeka miwilii
Hahaha hatari sana, hata kupumzika hatutaki mkuu.Dah,
Nlipitiwa na usingiz aisee
.....LOST....Al ansar vs al wahda total goals over 1.5 odds 1.80
Ngoja niweke 30K tu, nahisi arufu ya goli hii mechi
Mkuu Cardiff vipi?? Au hilo gemu haligusikijamani msaada ambae anajua jina la hii app ya predictions
Acha tu mkuu,Hahaha hatari sana, hata kupumzika hatutaki mkuu.
Hii game inafaa kuicheza option za ajabu ajabuNawazaa Kumuaa Man u!![emoji3][emoji3][emoji3]
Dili ni Web,App mizinguo sana
sorry kampun gan unabet kaka?Goa wazee wa India hawa. Over 10.5 corners full time odd 1.45
hapa loss lazma irudi hiyo
1xbetsorry kampun gan unabet kaka?
Weka drawNawazaa Kumuaa Man u!![emoji3][emoji3][emoji3]
Subiri mechi ianze then uangalie mzee baba. Si unajua hawakawii hao kuharibu mkeka. Hiyo game icheze inplay baada ya kujiridhisha mpira unauonaje.Nawazaa Kumuaa Man u!![emoji3][emoji3][emoji3]