Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii game ya Al saad kule AFC naiona nyeupe kabisa.

Al saad akishinda kwa kishindo,

Najiulza sn kwann HAWA warusi wameamua kumpa odds nyingi kias hiki Al saad
Dah,

Yaan ndo naenda kuplace bet kumpa direct win, nakuta Al saad akeshafunga goli.

Odds zmebak 1.26, SIO mbaya nazifata hizo hizo kwa stake mlima.
 
In play

Uefa u19

Tottenham vs Porto

Next corner 8 (2 way) - Tottenham

Odds: 1.85
 
Kampuni ni 1xbet, ila ukiona post ya asram ujue ni bet365 au skybet au Williahill wazee wa Odds mlima .
poa kaka.hivi hao kina wiliiam hill wana mobile payments kweli km 1xbet au ndo mpk credit cards na e- wallets?
 
1XBet ku deposit kwa Airtel money! Wanasema ni bonyeze option Number 5 airtel money then 4. Ambayo inasema weka number ya kampuni ila 1XBet wamenipa jina la kampuni na kwenye orodha za kampuni hawapo! Help help help
 
No ya kampuni: 400700

Kumbukumbu No: 0081bet
 
MKEKA WA PESA No.1 (Mechi 2)

1. Roma Vs Shaktar Donetsk

Option:
Ball possession Handicap full time
Shaktar Donetsk (+11.5%)

Odds: 1.82

2. Man utd vs Sevilla

Option:
Goals handicap full time
Sevilla (+2.5)

Odds: 1.21

TOTAL ODDS: 2.12

***Mapambano yanaendelea***
 
Goa wazee wa India hawa. Over 10.5 corners full time odd 1.45
hapa loss lazma irudi hiyo[/QUT
.......BOOM........
Ngoja nitoe mpunga nibakize mtaji tu. hapa ni mwendo wa Heineken na nyama tu huku Nasubiri man u.
 
Back
Top Bottom