mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Huu mchezo hauitaji hasiraNgoja nilale aisee!!!! Ukiweka over 2.5 wanatoka 0-0, ukiweka under 2.5 wanatoka 4-1, ukiweka bTTs wanatoka 1-0 , ukiweka 12 wanatoa draw! kuanzia leo man utd , aston villa mnisahau
mkuu ulichotufsnyia leo sio fresh ila poa tu*****BET WOOOOOON******
HONGERA KWA MLIOFATA
nimepigwa mikeka mitano kwa mmoja!!huu mchezo utatuacha salama kweli?Huu mchezo hauitaji hasira
Barnet vs Port Vale[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
22:45
International - UEFA Champions League
AS Roma - FC Shakhtar Donetsk
Tip: BTTS @1.65 odds
22:45
England - Championship
Brentford FC - Cardiff City
Tip: BTTS @1.60 odds
22:45
England - National League
Halifax Town - Dagenham Redbridge
Tip: BTTS @1.80 odds
01:00
Paraguay - Premeira Division
Sol de América - Deportivo Capiatá
Tip: BTTS @1.60 odds
23:00
England
Barnet - Port Vale
Tip: ft X @3.10 odds
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Rule no 1.nimepigwa mikeka mitano kwa mmoja!!huu mchezo utatuacha salama kweli?
Mourinho mbwembwe nyingi huku Ana team mbovuDuh,
Man utd ndo hivo safar tena.
Jana Mou baada ya mazoezi, anawaambia waandishi kua Sevilla hamuumizi kichwa.
Anachowaza ni droo inapangwa lini na atapangwa na Nani.
AMAA KWELI,
UEFA HAIHITAJI MBWEMBWE!
yaani yoteee imechanika hahahahhaya bhana man u na ast🙁nvilla sina hamu
ahaaaa ndicho ulichohisi? basi uko wrongRule no 1.
Usirudie team kweny mkeka hata Kama upo sure itashinda kwa 100%
Pamoja Bossahaaaa ndicho ulichohisi? basi uko wrong
Aiseee Hili funzo sana..na nikosa nalirudia kila siku!!Rule no 1.
Usirudie team kweny mkeka hata Kama upo sure itashinda kwa 100%
Nlitoa apology kabla kua sitokuepo inplay leo mkuumkuu ulichotufsnyia leo sio fresh ila poa tu
Team nzuri, mikakati yake ndo mibovu.Mourinho mbwembwe nyingi huku Ana team mbovu
Mkuu,.Aiseee Hili funzo sana..na nikosa nalirudia kila siku!!
siongelei Inplay mkuu ule mkeka wa pesa umekuja late sanaNlitoa apology kabla kua sitokuepo inplay leo mkuu
hiz timu za champioship hua nazikwepa sana sijui kwa nn leo nimeingia mkengeila Aston villa wamefanya kitu mbaya sana