Mkuu,siongelei Inplay mkuu ule mkeka wa pesa umekuja late sana
ni kweli kaka !!huo kuda nlikua nshaplace ber!!zaman nlikua nakusubir hadi uweke siku hz umejitoa pre matchMkuu,
Mkeka huo ulkuepo tokea jion SAA moja
Nenda kaangalie ulipostiwa Masaa mangapi kabla ya mechi.
Wee ndo hukuuona mkuu
Jomba in play inapatikana wapIn play
Atalanta vs DC utd
Under 3.5 goals full time
Odds: 1.75
Live wanatoa point kidogo sanaJomba in play inapatikana wap
Haitokuja kutokea the way u think kumbuka leo yupo King himself La pulga !!Apprentice Toheeb2452 (234...90) says: *#dutaMUNSEV
PSG 1 - 2 R. Madrid
Spurs 1 - 2 Juventus
Man City 1 - 2 Basel
Man United 1 - 2 Sevilla
Tomorrow
Barca v Chelsea
Are u thinking the way i am thinking *
Team nzuri, mikakati yake ndo mibovu.
Hii game nlitaraj kumuona Mata ndani, Hakumuweka.
Sanchez nae mfumo wa Mou unampa shida sn, Kapoteana.
Felain&pogba wote ndo wametoka injury soon, kaigeuza uefa sehemu ya kutest majeruhi
Lukaku, badala ya kustick No.9, anageuka midfield kuwapgia cross kina rashford
Kosa kubwa lilianzia Spain alkoenda kupack basi.
Karudi England, Timu bado INA mindset za kupack basis, Haishambulii kwa pressure.
MWISHO WA SIKU, KAVUNA ALICHOPANDA
Nmeongea tu kutokana na nlivoiona game.Pole kiongozi naona maumivu yamekuhusu
Kweli chief. Kuwapa under 4.5 ndio option ya kiakili zaidi. Leo Bayern wanachezesha vijana kwa kuwa mechi leo ni ya mazoezi ya viungo.Bayern Mechi ilopita kashinda Nyingi sanaa Leo KUNA UWEZEKANO AKAUZAA MECHI....[emoji28][emoji28][emoji28] team nazo huwa zinabet walahi... Toka basel ampgie man city sina imani kabisaa... Liver akadraw na porto...
Mechi 60 mdauWale wa 1Xbet hiv maximum matches kwa mkeka mmoja n ngap wadau....?