Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mkuu nielekeze ku deposit pesa kwenye 1xbet maana nachat na mtu hapa yani wanapoor customer care nimepewa number ya company ni 400700 lakini nikifanya malipo jina linakuja Mlipa sasa namuuliza hii inakuwaje hatoi maelekezo vizuri
Unaenda kwenye top up click then chagua mobile company kwa Tanzania ili kufanya muamala wako, utapewa option ya kujaza kias utakacho ww kudeposit na namba yako ya simu utakayotumia kudeposit, kisha utaclick confirm then utapata sms ya namna ya kudeposit

Nb.. kiwango ulichorequest kwenye site ndicho utakachofanyia muamala
 
mkuu nielekeze ku deposit pesa kwenye 1xbet maana nachat na mtu hapa yani wanapoor customer care nimepewa number ya company ni 400700 lakini nikifanya malipo jina linakuja Mlipa sasa namuuliza hii inakuwaje hatoi maelekezo vizuri
Hao m lipa ni kama mawakala wao unakuwa hujakosea mkuu wao ndio kiunganishi kikuu kati yako na 1xbet kwenye withdraw na deposits
 
Hivi advance bet ya 1xbet ukitumia ukawin hawakulipi nimeshinda karibia mkeka 2 mwanxo ziliandika won baadae ikaandika removed
 
Wakuu, hii game corner zimetoka ngapi? Huu mkeka ulikuwa umetick kabsa sasa cha kushangaza nimerefresh, kurudi nakuta lost
 
Corner 7 wewe uliweka under 6.5 corner....
mkuu umeangalizia wapi? kama ni 1xbt hapana, hii mechi nimeiangalia had I dk ya mwisho iliishia 5:1. huu mkeka ulikuwa umetiki kabsa green, imekuwaje?
 
Kampuni kani hii brother tuliokoto zimetutoa
 
Habari za asubuhi wadau?

Baada ya kuwa nje wa uwanja kwa majukumu ya kishule, nimerejea na ujio wangu ndiyo huu.

Odds 6.9

Stake: 20k

Return: 138k
 
Hivi wazee n kampuni gani nzuri kwa kubetia mwanzoni nlikua natumia mbet siwaelewi siku hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…