Hahahaha,kapigwa tayarBayern Pata Goli moja nilale, Mbuzi wewe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kinachomtofautisha Bayern na Lipuli ni Uwanja wa Allianz Arena tu.
Usijarib kijanaKuna Roho inasema Nimpe Bayern Over 1.5 ila nasita japo Dk za Mwishoni anapata Bao.
Ha ha haaaa huyu Bayern ni wa kuwa nae sana makini kwenye ligi kwa sasa kabaki na game 2 tu atangaze ubingwa... Now macho yote yako UCL.Jinsi Mtoto wa nyani anavyomkera mama yake wakati akinyonya kidole ndivyo Bayern kanikera. [emoji53] [emoji53] [emoji53]
Dah, naona sahv ndo imekubalNimedeposit kama 20 minutes ago
sasa mkuu stake ww umetia buku, Mimi unasema nistake kiwanja hahahOdds 5 Hizo hapo, Stake Kiwanja usipotoa nakuja kulipa. View attachment 718834
Ha ha ha....Kinachomtofautisha Bayern na Lipuli ni Uwanja wa Allianz Arena tu.
tupo mkuuwadau mpooo