Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Dah Sasa Stuani umeona Bichwa lako ni zuri kufungia kuliko mguu, (Third Goal Scored by Bichwa) Odd 7.
Usiku Mwema Wakuu.
Usiku Mwema Wakuu.
Ndio maana nataka ni download mwenyewe Braza,Katika Upuuzi ambao siwezi kUfanya basi Kununua tips Lol ni Wizi mtupu..
Hahaahaaaaaa eti scored by bichwa....hahaaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] Dah Sasa Stuani umeona Bichwa lako ni zuri kufungia kuliko mguu, (Third Goal Scored by Bichwa) Odd 7.
Usiku Mwema Wakuu.
Atletico kauza Mechi 2-1
Hii siku ya Leo imekaa kipuuzi puuziAtletico kauza Mechi 2-1
Bayern Kauza Mechi 2-1
Lolote laweza kutokea kwa Real Madrid
Ka unanyingne tushee mkuuView attachment 718875 unajivika bomo moja unafunga na hesabu unarudi kulala
dah mkuu me ndo nafunga hesabu nilianza na 10k leo tumkuu hakuna namna tunaweza punguza machungu Iplay nina kamtaj kidogo hapa ka unakokolo naliomba mkuu
Nilikufata hii nimebana kila kitu hapaLiwalo na liwe. View attachment 718867
Huu mchezo pasua kichwaLazio nae kaanza kuwa kimeo pumbavu zake.
very big lostOdds 5 Hizo hapo, Stake Kiwanja usipotoa nakuja kulipa. View attachment 718834
[emoji631] [emoji736] [emoji736] [emoji736]Dallas v Seattle Sounders
Over 2.5 goals
Odds 2.00
USIKU MWEMA