Halafu Bayern na ATM wakichana mkeka kama vile jana tunabaki tunapiga mihayo??nmekupenda bureee inabd nikuoe ww tuwe tunabeti tu mpaka pes za mboga
umafuata nn humu sasa ww kengevijana mnapotelea humu..... ada umeshalipa ?
hakuna njia ya mkato, fanya kazi.
vijana wengi siku hizi wanabet, wanacheza biko, tatu mzuka, dubwi n.k.
M/Mungu tuokoe na hiki kizazi.
Fata mambo yako. Acha wivu wa kimama.. Lia lia wenzio tunapiga hela na ndio inatuweka mjinivijana mnapotelea humu..... ada umeshalipa ?
hakuna njia ya mkato, fanya kazi.
vijana wengi siku hizi wanabet, wanacheza biko, tatu mzuka, dubwi n.k.
M/Mungu tuokoe na hiki kizazi.
Hapana bro nahitaj msaada kama unajua bhana mi nalipaga kupitia account ya Vida sasa nakula sana buku zangu bora jero haiumi sanaNdo unajifunza kubet nn
Mkuu
Ndio lakin inagoma kaka wananiambia create a new account to pay through wallet hapo ndo shida
Kaka tena?Ndio lakin inagoma kaka wananiambia create a new account to pay through wallet hapo ndo shida
Usitake kuwa msemaji wa Vijana hapa Nchini, hangaika kwanza na matatizo yako ya kukojoa kitandani.vijana mnapotelea humu..... ada umeshalipa ?
hakuna njia ya mkato, fanya kazi.
vijana wengi siku hizi wanabet, wanacheza biko, tatu mzuka, dubwi n.k.
M/Mungu tuokoe na hiki kizazi.
Huu wivu ulionao sidhani kama Mzazi wako wa kike anao, hata dada zako wana wivu ila sio kama wewe.vijana mnapotelea humu..... ada umeshalipa ?
hakuna njia ya mkato, fanya kazi.
vijana wengi siku hizi wanabet, wanacheza biko, tatu mzuka, dubwi n.k.
M/Mungu tuokoe na hiki kizazi.