Acha jazba sio kila mkeka unaweza pata wazo la kuuletaakili yako mbovu kabla ya game mbona hukuleta huo mkeka hapa!
Acha jazba sio kila mkeka unaweza pata wazo la kuuletaakili yako mbovu kabla ya game mbona hukuleta huo mkeka hapa!
Duh!akili yako mbovu kabla ya game mbona hukuleta huo mkeka hapa!
mnakuja kwangu.nawakopesha.Halafu Bayern na ATM wakichana mkeka kama vile jana tunabaki tunapiga mihayo??
Hizo Option za Kurudishiwa ni zile za Ku-Turbo??Kifupi mi naona meridian bet ndio mpangao mzima wana odds nzuri pia wana option kadhaa zinazokuwezesha kurudishiwa pesa yako hata kama umepigwa au kupata bonasi hata kama umepigwa pia
Hilo nalo neno chief.Inter hatabiriki unaweza siku ukimpa ashinde anachezea za uso kwelikweli
Sijawahi kuona timu za kiQUMER hapa ulimwenguni kama Lazio na Celtic.
View attachment 719402
Wewe na mimi tumetoka draw. Mimi pia hao wasengerema wameniharibia wikiendi yangu janaSijawahi kuona timu za kiQUMER hapa ulimwenguni kama Lazio na Celtic.
View attachment 719402
Inauma sana I see!Wewe na mimi tumetoka draw. Mimi pia hao wasengerema wameniharibia wikiendi yangu jana
Kuna kuturbo halaf pia kuna spesho mechi ukibeti hizo halaf ukaliwa lakini kama kuna mechi iliishia bila bila Kati ya hizo unarudishiwa chakoHizo Option za Kurudishiwa ni zile za Ku-Turbo??
Mi napenda Premier Bet sababu tu wakikukata kodi wanakuja kukurudishia kwenye Bonus,
Shida yao ni Moja tu kua wanachelewa kukulipa, na weekend ndio hawalipagi kabisa
BET LOST.... Washenzi wanapiga magoli hawa kama wametumwa vile kudadekINPLAY
Slovan libere(under 21) vs Dukla plague
Under 4.5 - full time
1.54
Tuwekee na nchi zake bastimu chache point za kutosha
US Casertana 1908 v Unicusano Fondi
1(1.81)
FC Winterthur v Servette Geneva FC
2 (1.70)
TALLERES DE REMEDIOS DE ESCALADA v Deportivo Espanol
1(1.74)
Cork City FC v Bohemians Dublin FC
3 Way - 1(1.47)
7.87
INPLAY
Slovan libere(under 21) vs Dukla plague
Under 4.5 - full time
1.54
Moja ya maamuzi magumu kabisa niliyofanya baada ya hawa waczech kuchana mkeka dk ya 88 ikabidi nisuke mwingine wa 5.5 over..... Nashukuru Mungu ukatoaBET LOST.... Washenzi wanapiga magoli hawa kama wametumwa vile kudadek
kwa hiyo baada ya kuona umeshinda ndio wazo la kuuleta likaja??by ze way umeuleta ili tufanyeje ?tuucopy auAcha jazba sio kila mkeka unaweza pata wazo la kuuleta