lnx
JF-Expert Member
- Oct 21, 2016
- 387
- 295
Pambana na hali yako,kwanza nani kakufikisha hapa kunguru mbagala!vijana mnapotelea humu..... ada umeshalipa ?
hakuna njia ya mkato, fanya kazi.
vijana wengi siku hizi wanabet, wanacheza biko, tatu mzuka, dubwi n.k.
M/Mungu tuokoe na hiki kizazi.