Mkuu, mambo VP aiseewadau mpooo
We mwenyew umeweka buk af unawambia wenzio waweke kiwanja.hahahahahOdds 5 Hizo hapo, Stake Kiwanja usipotoa nakuja kulipa. View attachment 718834
[emoji4] [emoji4] [emoji4] Nimetoa kila kitu hapo.sasa mkuu stake ww umetia buku, Mimi unasema nistake kiwanja hahah
Tupo mkuu muhind kayeya na Kilo yangu Hiv Hiv umepotea mkuuwadau mpooo
Hata mm Mkuu kapita na 150KCeltic kanichania mkeka mbwa uyu hajui nadaiwa hada ya shule ya mtoto
Tupo za masikuwadau mpooo
1-1Narudia tena,kuen makin na girona,atafanya kisichotegemewa,hatoshinda ila madrid chamoto atakiona
Kabsaa,.kaz hii tunaielewa uzur mjomba
poaMkuu, mambo VP aisee
mkuu hakuna namna tunaweza punguza machungu Iplay nina kamtaj kidogo hapa ka unakokolo naliomba mkuu