Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau kuna aliyefanikiea kudeposit 1xbet kwa Mpesa? Me naona voda wanacancell transaction
 
Wadau kiwango cha mwisho ku stake 1Xbet ni shillings NGAPI wadau....? Na maximum kula n ngap
 
Wakuu,leo mbona leo sion match 1xbet,au kuna mahala pengne pa kuona match za today hum kwenye 1xbet
 
Wakuu, I hope mko poa na mapambano yanaendelea. Plz nawezaje kucancel bonus kwenye 1xbet ili niweze kuwithdraw funds? ... najua iliwahi kuongelewa humu at some point lkn nimejaribu kurudi posts za nyuma sijafanikiwa kuiona.

Natanguliza shukran wadau.
 
Itengenezee mkeka wenye odds kama 10 hvi uibetie yote ili bonus account ibaki zero.

Mimi nlifanya hvyo na nikaweza kutoa hela?
 
Mkuu ingia kwenye account settings, kisha pale kwenye bonus pale kuna maneno yanasema "take part in bonus offers" - disable hapo bonus zako zitasoma zero halafu mambo yote yatakuwa ni moto
 
Asante sana Chief ... ngoja nijaribu.
 
Itengenezee mkeka wenye odds kama 10 hvi uibetie yote ili bonus account ibaki zero.

Mimi nlifanya hvyo na nikaweza kutoa hela?

Asante mkuu ... nilijaribu hii lakini kwny betslip kunakuwa hakuna option ya kuchagua kustake from Bonus Account, ipo Main account tu.
Mdau Hardbody amenipa alternative ... ngoja nijaribu hii.
 
Back
Top Bottom