Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Asante mkuu ... nilijaribu hii lakini kwny betslip kunakuwa hakuna option ya kuchagua kustake from Bonus Account, ipo Main account tu.
Mdau Hardbody amenipa alternative ... ngoja nijaribu hii.
Tumia web buddy
Utaona uki select a team kweny ile payslip kuna option za kulioia from Main account ama uki bofya huo mshale ndo utaikuta bonus account!!
Masharti ya iyo bonus ni kua mech unazo chagua zisiwe na odds chini ya 1.40
Screenshot_20180320-134017.jpg
 
20.03.2018
Multi Bet 10
Odds: 153.05
 
Tumia web buddy
Utaona uki select a team kweny ile payslip kuna option za kulioia from Main account ama uki bofya huo mshale ndo utaikuta bonus account!!
Masharti ya iyo bonus ni kua mech unazo chagua zisiwe na odds chini ya 1.40
View attachment 720210


Ooh ok ... darasa jingine hili. Asante sn mkuu ... next time nitafanya hivyo. Leo ilibidi nicancel bonus ili niweze kuwithdraw.
 
habarini wakuu, nahitaji mkeka wenye stake tamu uliotick, compyan ya 1XBET. mwenye nao anitumie Niko na Affiliate program so natafuta ushawishi huko Facebook. mwenye mkeka uliotick anitumie tafadhali
 
habarini wakuu, nahitaji mkeka wenye stake tamu uliotick, compyan ya 1XBET. mwenye nao anitumie Niko na Affiliate program so natafuta ushawishi huko Facebook. mwenye mkeka uliotick anitumie tafadhali
hahahahah unataka kula asilimia
 
gonga jina la deeppool kisha pitia ptofile yake/post alizo andika humu utakutana na mikeka yake mingiiii

pia pitia jina la mr wise pitia profile...
mkuu huko kuna single bets tu tena sina uhakika hawa uliowataja hapo juu kwamba wameshaweka mkeka uliotick hapa jamvini...wao wanaweka tip tu mkeka ukitiki wanaweka Quote ya ******bet won****
 
Back
Top Bottom