Ingia kwenye web ndio utaiona hiyo option ya account settingAsante sana Chief ... ngoja nijaribu.
Tumia web buddyAsante mkuu ... nilijaribu hii lakini kwny betslip kunakuwa hakuna option ya kuchagua kustake from Bonus Account, ipo Main account tu.
Mdau Hardbody amenipa alternative ... ngoja nijaribu hii.
Nchi ganINPLAY
Dadanel spor v Yomraspor
0.5 OVER GOALS IN 1 HALF
ODDS 1.80
TurkeyNchi gan
TayarTurkey
Tayari nini???Tayar
Tumia web buddy
Utaona uki select a team kweny ile payslip kuna option za kulioia from Main account ama uki bofya huo mshale ndo utaikuta bonus account!!
Masharti ya iyo bonus ni kua mech unazo chagua zisiwe na odds chini ya 1.40
View attachment 720210
hahahahah unataka kula asilimiahabarini wakuu, nahitaji mkeka wenye stake tamu uliotick, compyan ya 1XBET. mwenye nao anitumie Niko na Affiliate program so natafuta ushawishi huko Facebook. mwenye mkeka uliotick anitumie tafadhali
heheh boss ndo manaakehahahahah unataka kula asilimia
sasa unadhan wadau hawako humu?heheh boss ndo manaake
mkuu kote kote tunatafuta. ila fb nimekutana na changamoto wengi matumizi ya social network ni zero kbx. unampa link harafu anakwambia ameshindwa kujiungasasa unadhan wadau hawako humu?
wapige darasamkuu kote kote tunatafuta. ila fb nimekutana na changamoto wengi matumizi ya social network ni zero kbx. unampa link harafu anakwambia ameshindwa kujiunga
lete mikeka BA's mkuuwapige darasa
gonga jina la deeppool kisha pitia ptofile yake/post alizo andika humu utakutana na mikeka yake mingiiiilete mikeka BA's mkuu
mkuu huko kuna single bets tu tena sina uhakika hawa uliowataja hapo juu kwamba wameshaweka mkeka uliotick hapa jamvini...wao wanaweka tip tu mkeka ukitiki wanaweka Quote ya ******bet won****gonga jina la deeppool kisha pitia ptofile yake/post alizo andika humu utakutana na mikeka yake mingiiii
pia pitia jina la mr wise pitia profile...