Hapa lazima wakulipe...Wapigie,Watumie meseji..Email. yaan wasumbue balaa.Hiki wanachofanya Mbet ni utapeli ni nini hiki?
Nimeplace bet Dk 8 kabla mechi kuanza halafu mwisho mechi zote zimeisha wananiandikia return invalid, huu si utapeli wanaoufanya?
View attachment 728395View attachment 728396
Sawa kiongoziHapa lazima wakulipe...Wapigie,Watumie meseji..Email. yaan wasumbue balaa.
Hata wenyewe wameona makosa waliyofanya ulivyo watumia Screenshot. Ndo maana wameanza kukuzungusha. Hiyo ni haki yako.
Mkuu hii app gan na si tuwe tunaanglia
Mkuu hii umeitoa kwa tipser gani?RUDES VS ISTRA HT/FT X/X
BRESCIA VS PESCARA HT/FT 1/X
CARPI VS TERNANA HT/FT X/1
WADAU HIYO HAPO ATAESHINDA ANIKUMBUKE YA BEER
Bao 3 na kuendeleaWakuu hivi mfano 2 over kwenye ixbet inamaanisha nn
Ukiweka Over 2, ina maana Ili USHINDE magoli yawe kuanzia MATATU.Wakuu hivi mfano 2 over kwenye ixbet inamaanisha nn
nimecheka peke yanguNimekuwa na kazi nyingi wiki mbili hizi lakini kama kawaida mapambano ya kumuadabisha Mrusi yalikuwa yanaendelea ingawa kwa kiasi kidogo. Kwenye likizo hii ya sikukuu atanyooooka yeye au mimi.