Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1 kwa 1 tayari
Nilimpa ashinde either half.... sasa wamebaki barca na psv team niliweka 20 timu 18 zimetick bado hao wawili washinde either half....

Mikeka yote tano chali umebaki huu mmoja aisee [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
upload_2018-3-31_21-18-35.png
 
Leo alichokifanya Girona hakika laana zangu zitamfikia...yeye peke yake kachana odds 45+ nilikua nihesabu pesa nzuri sana leo
 
Hapo kabaki barca nipate pesa ya supu....

Mikeka kama tano imechanika coz team moja moja ndio imechana....

Leo ningetoka na pesa nyingi bhasi tu ngoja leo nimwombee barca ushindi either half....
Screenshot_20180331-212927.jpg
Screenshot_20180331-212944.jpg
Screenshot_20180331-212951.jpg
 
Back
Top Bottom