Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Pasaka itakuwa mbaya kwangu. Ilikuwa 113k
Screenshot_20180331-215348.jpg
 
Wale wadau wa 1xbet... namna ya kutoa PESA 1xbet n vp wadau.... na inachukua muda gani kuipata cc deeppond Mr wise... na wengine mlio toa PESA kwa 1Xbet
..kesho pasaka
 
Uchukua dk 1 hadi 5 ikichelewa sana dk15
 
Barcelona hata mki draw naomba mshinde kipindi cha pili nawategemeeni ninyi tu ndio mmebaki....
 
Back
Top Bottom