Kwahiyo hizo 5-10 Odds ndo mnalipisha watu pesa!! Na mnapata watu haswa?hakuna ujanja janja leo ilikua siku mbaya kwa punter weng hata kwetu pia kat ya tket 2 za VIP 5ODD NA 10 ODD, YA TEN ODD IMECHOMWA NA KRASNODAR BAADA YA KURUDISHIWA GOAL DAKIKA YA TISINI NA NNE A VERY UNFORTUNATE EVENT LAKIN TKET YA ODD5 TULIYOSHAURI CUSTOMER WETU WASTAKE 10K IMETK [HASHTAG]#DON[/HASHTAG]'TLOSEHOPE [HASHTAG]#BETTINGISOPPORTUNITY[/HASHTAG]
KESHO JITAHIDINI KULIKE PAGE IKIFIKISHA FOLLOWERS 100 NA LIKE 100 NATUPIA MAMBO FREEELY ODD 10
visit
Lord Jozee king of betting
and see today's free tip
mwanangu wa ukweli usisahau kulike KUFOLLOW NA kucomment NISAIDIE KUSHARE
Chaka Vibaya Mno
Huko kutolipa pesa cku za weekend ndo kuzingua kwenyewe mkuu coz wangejua mateso tunayoyapata ktk kazi hii aah mi ndo maana hata sitaki kujiunga nao.Hawazingui, Ila nyie ndo hamjui utaratibu wao.
Weekend hawatoi Hela.
sijui kwann hawataki kubadilikaHuko kutolipa pesa cku za weekend ndo kuzingua kwenyewe mkuu coz wangejua mateso tunayoyapata ktk kazi hii aah mi ndo maana hata sitaki kujiunga nao.
Hata mi nimeshangaa hili but ikabidi niwe na subira kwa kuwa ni mgeni humu but nashukuru km umeliona hilo mkuu,tubadilike coz huo ni aina ya utapeli aisee.Ni upuuzi wa kiwango cha PhD kwa watu wa humu jukwaani kuanza kuuza tips humu....hivi leo na mimi nikianza kuuza, DeepPond , Buddy , @Pdiddy , nyegere86 ,I-NGOSHA, na mwengine na mwengine tena kisha itakuaje?Kwanini mnakua na tamaa za ajabu ajabu humu, nadhani soon watu watalitelekeza ili jukwaaa maana lishaharibika sasa
Unaboa kinoma watu na hilo li roho mbaya ulilonalo.hakuna ujanja janja leo ilikua siku mbaya kwa punter weng hata kwetu pia kat ya tket 2 za VIP 5ODD NA 10 ODD, YA TEN ODD IMECHOMWA NA KRASNODAR BAADA YA KURUDISHIWA GOAL DAKIKA YA TISINI NA NNE A VERY UNFORTUNATE EVENT LAKIN TKET YA ODD5 TULIYOSHAURI CUSTOMER WETU WASTAKE 10K IMETK [HASHTAG]#DON[/HASHTAG]'TLOSEHOPE [HASHTAG]#BETTINGISOPPORTUNITY[/HASHTAG]
KESHO JITAHIDINI KULIKE PAGE IKIFIKISHA FOLLOWERS 100 NA LIKE 100 NATUPIA MAMBO FREEELY ODD 10
visit
Lord Jozee king of betting
and see today's free tip
mwanangu wa ukweli usisahau kulike KUFOLLOW NA kucomment NISAIDIE KUSHARE
co kweli kawaida ukichelewa kulipa ktk muda ulioweka ukalipa nje ya muda ela yako hawachukui inarudishwa immediately wanakuambia muamala umeukoseaHlela walichukua mbona
Subiri waamke maana sie wengine hiyo kampuni hata hatukuwa tunaijua labda sababu wageni.Naomba ufafanuzi jinsi ya kuwithdraw pesa kutoka 1xbet maana inaniambia sijakidhi vigezo vya bonus, mwenye kujua anieleze bonus rules zikoje pindi napotaka kuwithdraw pesa
Unatumia app au webNaomba ufafanuzi jinsi ya kuwithdraw pesa kutoka 1xbet maana inaniambia sijakidhi vigezo vya bonus, mwenye kujua anieleze bonus rules zikoje pindi napotaka kuwithdraw pesa
Wadau dah leo sijui kumekucha vp maana niliingia M-BET kwa lengo la kuangalia time ya game za leo kwa hiyo nikabonyeza betting option yoyote kumbe nimechagua 45mins 2nd half kuanza kuangalia game zenyewe nikakuta odds za maana kweli nikajua ni normal win,mh nikasema basi ngoja nitupie hata tiketi ya Jero ya asubuhi asubuhi maana Odds za nguvu kucheki possible winning inagonga 900,000 na point nikasema potelea mbali naweka stake ya 1000 ngoma imegonga 1.8m nikalipia,Loooh salaleh kuchek nakuta game zote kumbe ni 45mins 2nd half,dah nikatukana kimoyomoyo kudadek kumbe nimebugi kisawasawa.But tiketi za kukosea huwa 85% zinaenda vizuri kwangu so kama unaweza tembea na ticket hii just JITOE MUHANGA na editing fanya mwenyewe coz You never know waweza Cheka pamoja nami licha ya kuwa imekosewa and that's what betting mean(PREDICTING UNKNOWN OUTCOME)View attachment 731899View attachment 731900
Kwa weekend na sikukuu haitakubali, subiria tuWAKUU HIVI LEO UKI WITHDRAW PESA KUTOKA PREMIER BET INAWEZA KUKUBALI?.
Natumia appUnatumia app au web
Umetubania tip hyoMkeka Kama Huu ningetia 5,000 ningekuwa nacheka tu..View attachment 731981