Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hapana sijawah toa PESA ndo mara ya kwanza
Ingekuwa umewahi kutoa pesa kabla yakupiga pesa ndefu ungesema kuwa wanaleta figisu ila hujawahi na sisi wengine tunatoa bila tatizo lolote, basi tatizo litakuwa kwako.
 
Ingekuwa umewahi kutoa pesa kabla yakupiga pesa ndefu ungesema kuwa wanaleta figisu ila hujawahi na sisi wengine tunatoa bila tatizo lolote, basi tatizo litakuwa kwako.
Litakuwa kwangu ki vp wakat na wengine wengi wanalalamika.. sema haijakukuta... ndo maana
 
+255 na atakupgia cmu ndan ya muda mfupi atakuulza namba ya kitambulisho chako chochote alaf atakupa sms code utatoa hela
Thanks man wamenipigia.... wakanipa hizo codes.. nime withdrawal imekubal....... inachukua muda gani mpunga kuingia....?
 
Nenda pale sehem wameandika call back ingiza namba yako watakupgia simu utawaelezea shda yako
Thanks man ... mpunga umeingiaaa fresh kbsaaa....! Nilisumbuka for 5 days..... salute man... full appreciate..! Sema hawa wazungu wanaongea kingereza kigumu sanaaa..
 
Niliona sehemu mdau anatoa Ushauri tubet na michezo mingine. Hiyo ni kweli. Mfano kuna siku naangaliaga mechi za baseball naona zinatoa sana under na over kama utaufatilia. Muhimu ingia Google soma kila kitu kuhusu baseball, je mchezo una inning ngapi, je kila inning moja inaweza ikatoa over au under ngapi. Kiufupi baseball naielewa sana kuliko hockey. Hockey Ukiondoa direct win. Over na under zake zipo unpredictable kabisa.
 
Wakuu humu ndani hivi m-bet kama mechi imekuwa postponed na zilizobaki zimetoka vizuri,,,, utaratibu wa malipo upoje? Mana hata namba zao zipo busy tu hawapatikani kusikiliza shida,,,,,,
 
+255 na atakupgia cmu ndan ya muda mfupi atakuulza namba ya kitambulisho chako chochote alaf atakupa sms code utatoa hela
Namba ya Kitambulisho chochote? Hata ambacho hukukiREGISTER?
 
Booking Number: 6VKMR96

03/04/201809:43:26

5895 Atalanta - Sampdoria
Double Chance 1X

03 April 2018 17:30Prematch
5896 Genoa - Cagliari
Chance Mix O/U X or 1.5 Over

03 April 2018 17:30Prematch
5897 Udinese - Fiorentina
Double Chance X2

03 April 2018 17:30Prematch
1127 Sevilla - Bayern Munich
1X2 2

03 April 2018 19:45Prematch
1128 Juventus - Real Madrid
Chance Mix O/U 2 or 1.5 Over

03 April 2018 19:45Prematch
9591 Horsens - Midtjylland
Double Chance X2

03 April 2018 17:00Prematch
1982 Aston Villa - Reading
1X2 1

03 April 2018 19:45Prematch
1983 Fulham - Leeds Utd
1X2 1

03 April 2018 19:45Prematch
1984 Wolves - Hull City
1X2 1

03 April 2018 19:45Prematch
2238 Cowdenbeath - Montrose
Chance Mix O/U 2 or 1.5 Over

03 April 2018 19:45Prematch
Stake ₦ 1,500
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…